Pombe ikitumiwa kwa usahihi ni burudani isiyo na mpinzani

Huwa nikilewa sitaki kabisa kuongea, ni mwendo wa ishara tu, na sitaki ma story balaa ka mziki na kutingisha kichwaa, na baada ya hapo ni kulala. Sipendi kabisa kuchanganya pombe na sex, nikiwa na maji kichwani no sex hata wazo lake huwa sitaki
Mmmh tumetofautiana kumbe,
Mimi nikilewa naweza vuta yeyote,kimbembe pombe zikiisha ndo utajua uliagiza Alibaba au kampuni gani 😂
 
Haizidi uzinzi mkuu
Ukiitumia. Vizuri na kinga
 
Pombe sio chai.

Hivi kati ya pombe na uchi wa mwanamke kipi kinastatehesha zaidi?
Uchi wa mwanamke siyo starehe,hiyo iko responsible zaidi, kwasababu usipofanya Kwa muda mrefu utaharibikiwa,

Lakini pombe ni starehe ambayo hata usipoitumia hakuna madhara utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…