Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
- Thread starter
- #41
Ipo mkuuPombe haina faida yoyote mwilini.
Ipo mkuuPombe haina faida yoyote mwilini.
Faida zipiIpo mkuu
Hawa ni pipa na mfuniko, marafiki wanaenda sambamba.Poverty and heavy drinking are worst enemies.
Utulivu wa moyo,na kurelaxFaida zipi
Hizo ni relief za muda mfupi tu mkuu..sawa na ganzi. Baada ya muda unarudi kwenye hali ile ileUtulivu wa moyo,na kurelax
Utulivu wa akili haswa kwenye kazi zinazotumia akili nyingi (Engineers wengi wanajua)
Kuongeza hamasa na msisimko wa homoni mwilini ,kuamsha ubongo haswa Kwa introverts(kuna mtu hawezi kuongea mbele ya umati bila kunywa)
Uwezo wa kubalance control ya mwili (hii Kwa wenye madeni,biashara kubwa wanajua)
Kuleta furaha na kusahau maumivu Kwa muda (waliowahi teswa na mapenzi wanaelewa)
Nyotaa ile mkuu endelea kusafishannyota sheheeYes, nakuwa siwezi sex kwasababu reaction ya pombe kwangu, huwa inanimaliza nguvu ila nakuwa na furaha ya ndani kubwa sana
Mods walipita nao chap🤣Pole mkuu
Mimi mwenyewe nimeandika Uzi huku sioni vizuri😂
Acheni pombe please 😀min -me jana nimekula dawa jioni saiz si freshy tu mwanang?
Mi nishaacha basi tu leo niko bored halafu ipo hapa naiangalia 😑Acheni pombe please😀
SAwa sawa...Mi nishaacha basi tu leo niko bored halafu ipo hapa naiangalia 😑
Mnaeleza mambo mengi halafu agenda mezani hamuweki.Wekeni pombe.Pombe ina miiko yake
Upo wapMnaeleza mambo mengi halafu agenda mezani hamuweki.Wekeni pombe.
Hapa kijijini kwetu.Leo zamu yangu kusenya kuni.Ntakucheki baadaye.Upo wap
Astghafirullah 😅 kuni tena moshi unatosha kukulewesha mbonaHapa kijijini kwetu.Leo zamu yangu kusenya kuni.Ntakucheki baadaye.
Tumechinja nyati leo.Ni mwendo wa kuni tu.Noa magego yako nakuletea minofu.Astghafirullah 😅 kuni tena moshi unatosha kukulewesha mbona
Kumbe ni hivyo 😅😅Tumechinja nyati leo.Ni mwendo wa kuni tu.Noa magego yako nakuletea minofu.
Ninakutumia kwenye simu location.Have a bit of a patience boss!Kumbe ni hivyo 😅😅
Hapo sawa lete sasa location