Pombe ikitumiwa kwa usahihi ni burudani isiyo na mpinzani

Kwenye kipimo cha uzani,urefu na quantity ambayo inatakiwa iwe consumed ndio changamoto.
Kuna zile za kuitwa "jogoo" hawa brand ya K-Vant miaka hiyo zilikiwa ni balaa sana. 2010-2012 zilikuwa zinauzwa mia tatu kwa pact, kulikuwa na kiroba original kubwa yake na konyagi ya buku, badae bei elekezi ikawa 1,200. Vijana walichakaaa mpaka serikali ikaingilia kati.

Siku hizi kuna hizi za kopo mpaka pombe ya mia tano unapimiwa hizi nazo ni tatizo mno. Vijana wanachakaa sana, ten tu mtu analewa hadi anakosa ufahamu.
 
Wasiziendekeze mnoo zitawawahisha sebuleni kwa Muumba.
 
Ten mbona kubwa Kwa hizi pombe za mtaani
 
Pombe inataka msosi jombaa

Unakulaje kisungura bila kitimoto nusu au broiler nusu.!

Lazima upauke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…