Pombe ikitumiwa kwa usahihi ni burudani isiyo na mpinzani

wapandishee vyotee bei zaooo

waruachoe boa xetuuuu

walitutesa sanaa miaka hio kila ukisikia baketi bia inapanda jamani
 

Wadanganye tu na uku wewe unajipigia captain morgan na jack daniels huku wenzio wanapiga visungura
 
Ukiona unakunywa pombe kwa mahesabu hivo bora uache tu. Pombe hainaga mfumo, maana ya pombe ni vurugu.. Kunywa yoyote, popote, vyovyote. Unafanya maandalizi kibao kama surgeon anaingia kupasua mtu kumbe mlevi unaingia bar!!!! Kuna sheria tatu tu za kunywa pombe
1.Kunywa pombe
2.Kunywa pombe
3.Kunywa pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…