Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Wanywaji wa Pombe wamegawanyika katika makundi mbalimbali,
1. Kuna ambao wanakunywa kwa wingi na bado wanajitambua na huwezi kuona wakigombana au kusumbua wengine, in short wanaweza kuji control,
2.Kuna wengine wakilewa ni vurugu mtaa mzima, ugomvi, matusi, kelele nk
3.Wengine wanaweza hata kutenda jambo ambalo wanaweza kuja kulijutia, kwa mfano kuna jamaa aliwahi kumtongoza mama mkwe kisa pombe.
Kwa upande wako umewahi kutenda jambo gani ambalo unalijutia kwa sababu ya pombe?