Pombe imewahi kukusababisha kutenda jambo gani ambalo unalijutia?

Pombe imewahi kukusababisha kutenda jambo gani ambalo unalijutia?

Kuna jamaa alienda kikazi mkoa fulani akafikia hotel, ilivyofika jioni akaenda kutandika mtungi wa kutosha.

Amerudi hotel kaingia chumbani akavua nguo zoote mpaka chupi akajitupa kitandani uchi wa mnyama.

Kama saa nane usiku akaamka akakojoe, badala ya kufungua mlango wa chooni akafungua mlango wa kutoka nje koridoni akatoka .

Ile wenge linakata anatafuta switch haoni ndio akastuka yupo koridoni na mlango nyuma umejifunga.

Ikambidi aende vile vile kaunta kuomba funguo ya ziada,

Muhudumu kustuka anamuona mchizi anakuja uelekeo wake uchi wa mnyama ikabidi apige kelele akahisi mchizi anakuja kumaliza kazi
 
Wanywaji wa Pombe wamegawanyika katika makundi mbalimbali,

1. Kuna ambao wanakunywa kwa wingi na bado wanajitambua na huwezi kuona wakigombana au kusumbua wengine, in short wanaweza kuji control,

2.Kuna wengine wakilewa ni vurugu mtaa mzima, ugomvi, matusi, kelele nk

3.Wengine wanaweza hata kutenda jambo ambalo wanaweza kuja kulijutia, kwa mfano kuna jamaa aliwahi kumtongoza mama mkwe kisa pombe.

Kwa upande wako umewahi kutenda jambo gani ambalo unalijutia kwa sababu ya pombe?
If you don't drink beer, at least own a house or a car. Have something to show for your "good behavior". Not being a sober brokee
 
Back
Top Bottom