Pombe imewahi kukusababisha kutenda jambo gani ambalo unalijutia?

Oscar Lyrics

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
3,011
Reaction score
5,188
Wanywaji wa Pombe wamegawanyika katika makundi mbalimbali,

1. Kuna ambao wanakunywa kwa wingi na bado wanajitambua na huwezi kuona wakigombana au kusumbua wengine, in short wanaweza kuji control,

2.Kuna wengine wakilewa ni vurugu mtaa mzima, ugomvi, matusi, kelele nk

3.Wengine wanaweza hata kutenda jambo ambalo wanaweza kuja kulijutia, kwa mfano kuna jamaa aliwahi kumtongoza mama mkwe kisa pombe.

Kwa upande wako umewahi kutenda jambo gani ambalo unalijutia kwa sababu ya pombe?
 
Kula ndogo
 
Pombee ilifanya nifanyee 4some Kwa kuwalipa madem wanne elfu 50 kilaa mmojaa ,
Asubuh kulivyokuchaa na pombe zimekataa geto Zima lilikuwa linanukaa harufu ya k tu na wale madem wamejilalilia km mizogaa πŸ™ŒπŸ™Œnikawaamshaa waondokeee maana ckutaka hata Cha asubuh ..
 
Duuh 200k plus hela ya pombe usafiri
Kuwanunulia vinywaji
Chakula 400k

POMBE NI HASARA πŸ˜‚πŸ‘Œ
 
Mambo ni mengi mno.
Siku nikataka kutembea Baharini kama Jesu
ndio niliona pombes si nzuri
Nilipiga vikombe km ndoo moja hivi ya lita 20.
Nikazima
 
Mbona hajamtongoza mamake mzazi!?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…