Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.