Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Waachie Maisha yaoHizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo.
Zinaharibu afya ya vijana wengi. Nguvu kazi ya taifa.
Vijana wanakauka. Wanakunywa bila kula. Zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
hizo bajet na raha zinamaliza sana vijana moshi hasa marangu.kibarua cha sh 10000 wao wanafanya kwa sh 2000 kutwa nzima ili mradi apate pesa ya kutoa lock na ukimpa msimbazi kama umempa kazi kesho yake haji mpaka ziishe wanatuharibia madili yetu ya pesa.Saivi kuna pombe inaitw nguvu,raha,burdani,budget hizi ni balaa
Ety shimha inapimwa hadi jero nilishangaa sanaHizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo.
Zinaharibu afya ya vijana wengi. Nguvu kazi ya taifa.
Vijana wanakauka. Wanakunywa bila kula. Zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
Haima