Nilienda sehemu moja Mwanga Kilimanjaro...wanawake wanasema hakuna wanaume KABISA.Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
Ila wanadai zinaongeza nguvu za kiume
Mimi natumia hiiView attachment 2410341
Sio kwa mbaliYes nayo ni dabur pia nzuri inakua kama inawasha kwa mbali hivi
Sio kwa mbali
Inawashaga [emoji23][emoji23][emoji23]
ahau na makolokolo yale makamali yanawatesa sana vijana mitaani kizazi kijacho ni balaa tupu..Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
Kuna mtu aliuliza unataka ufe na afya nzuri ili iweje, unataka wadudu ndio wafaidi hiyo afya yako nzuri
Hii ndio kitu sio hayo mengine mataputapu
Huu mziki wa wateule kuna dogo aliugonga anaulizwa umekunywa nini anajibu ambulance.Nishai sana.