Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Nilienda sehemu moja Mwanga Kilimanjaro...wanawake wanasema hakuna wanaume KABISA.Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
Yaani ni kama kijiji kizima kina wanawake tu, vijana wamelewa chakari asubuhi na hawafanyi kazi zaidi ya kutafuna mirungi.