Pombe kupigwa marufuku kwa aina hii

Pombe kupigwa marufuku kwa aina hii

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
426
Reaction score
54
Jana kwenye taarifa ya habari kuna mwanaharaki mmoja alisema serikali ipige marufuku uuzwaji wa pombe kwani inamaliza jamii yetu...sikubaliani nae lakini....Kwa uchunguzi nilioufunya nimegundua pombe huuzwa kila mahali upitapo tena bila kibali maalumu kutoka kwenye taasisi husika.unakuta mtu anafungua duka la kuuza bidhaa za kawaida kama sabuni,mchele n.k unakuta anauza pia na bia pamoja na viroba..ukipita kwenye stand nyingi utakuta viroba kila mahali. Mi naona imefika wakati serikali za mitaa na serikali kuu kotoa tamko na sheria zinazo onyesha ni watu gani au sehemu gani pombe hutakiwa kuuzwa..tunatengeneza kizazi cha walevi..viroba.KUNA HAJA YA KUREGULATE UUZAJI WA POMBE..SIO KILA MTU NA KILA MAHALI OMBE IUZWE.
 
pombe imezuiliwa na madhehebu yote ya dini isipokua katoliki!pombe haina faida zaidi ni kuleta maradhi ktk jamii
 
Kwani sheria hakuna? Ila hazifuatwi maana pombe ndo inaendesha serikali
 
pombe imezuiliwa na madhehebu yote ya dini isipokua katoliki!pombe haina faida zaidi ni kuleta maradhi ktk jamii

Hapana Kaka, Kanisa Katoliki halifundishi utumiaji wa Pombe, japo baadhi ya waumini wake wanatumia.
 
Pia inasababisha watu kutekwa,wakiitwa kwenye vi pub mbio vinakimbilia
 
Back
Top Bottom