BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 54
Jana kwenye taarifa ya habari kuna mwanaharaki mmoja alisema serikali ipige marufuku uuzwaji wa pombe kwani inamaliza jamii yetu...sikubaliani nae lakini....Kwa uchunguzi nilioufunya nimegundua pombe huuzwa kila mahali upitapo tena bila kibali maalumu kutoka kwenye taasisi husika.unakuta mtu anafungua duka la kuuza bidhaa za kawaida kama sabuni,mchele n.k unakuta anauza pia na bia pamoja na viroba..ukipita kwenye stand nyingi utakuta viroba kila mahali. Mi naona imefika wakati serikali za mitaa na serikali kuu kotoa tamko na sheria zinazo onyesha ni watu gani au sehemu gani pombe hutakiwa kuuzwa..tunatengeneza kizazi cha walevi..viroba.KUNA HAJA YA KUREGULATE UUZAJI WA POMBE..SIO KILA MTU NA KILA MAHALI OMBE IUZWE.