Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma.
Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekia Dibogo Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina la mgombea wa CCM.
Hii inatokana na jina la Wenje kumtesa moyoni. Mgombea wa CCM anaitwa Jafari Wambura Chege
Ezekia Wenje aliwahi kuwa Mbunge wa Nyamagana 2010-2015 Jijini Mwanza