Uchaguzi 2020 Pombe Magufuli amnadi Ezekia Wenje(CHADEMA) akidhani ndiye Mgombea wa CCM

Uchaguzi 2020 Pombe Magufuli amnadi Ezekia Wenje(CHADEMA) akidhani ndiye Mgombea wa CCM

Bavicha bwana nadhani wanalugha yao maalum ya mawasiliano , mtu anasema hivi wao wanakuja na tafsiri yao ya kustaajabisha sana yaani mpaka unajiuliza hii wameitoa wapi.
Hebu leta basi alichosema kilicho sahihi
 
@Mshana Jr utadhani mzee kapigwa zongo ili akili ijichanganye.
Anachapia sio mchezo

Jiwe hajui kinachotoka mdomoni!!! LAANA IMEISHAINGIA YA KUFANYA MCHEZO NA MADUA WANAYOMSOMEA HAO MASHEIKH!!
 
Hapo alidhani wenje ni kati ya wale waliofika bei wakati wa manunuzi
 
Kawaida yake huyo kuchanganya mambo , Saddam Hussein raisi wa Libya.
 
Aisee Lissu amewabananisha mataga kwenye kona ya kitanda hadi wamepoteana 🤣🤣🤣
 
Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma.

Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekieli Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina LA mgombea wa CCM.

Hii inatokana na jina LA Wenje kumtesa moyoni.
Clip inafuata
Na bado mwaka huu mpaka maji atayaita mma
 
Back
Top Bottom