Safi sana hiyo inaonesha Vigogo CCM wanangoka yatabaki majina tu, team mpya inaingia system itaungana vizuri tu!!Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma. Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekieli Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina LA mgombea wa CCM.
Hii inatokana na jina LA Wenje kumtesa moyoni.
Clip inafuata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma. Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekieli Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina LA mgombea wa CCM.
Hii inatokana na jina LA Wenje kumtesa moyoni.
Clip inafuata
Kama Chenge limebaki Jina tu!!Safi sana hiyo inaonesha Vigogo CCM wanangoka yatabaki majina tu, team mpya inaingia system itaungana vizuri tu!!
Baba leta video ncheke πππππKichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma. Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekieli Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina LA mgombea wa CCM.
Hii inatokana na jina LA Wenje kumtesa moyoni.
Clip inafuata
Mbona tunasikia live TBC wewe hayo umeyasikia wapiBaba leta video ncheke πππππ
Hahahahahaha nmecheka sanaKichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma. Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekieli Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina LA mgombea wa CCM.
Hii inatokana na jina LA Wenje kumtesa moyoni.
Clip inafuata
Nyoka akiingia ndani kwako ni lazima ufuatilie nyendo zake zote ili uweze kumpiga rungu la kichwa vizuriAsanteni sana Bavicha kwa kumfuatilia mheshimiwa Rais kila anapoenda
Huyu mzee leo ni siku ya kumi tu ila ameshaelemewa vibaya. Yani zimebaki Sikh 50 aisee tutaona mengiKichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma. Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekieli Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina LA mgombea wa CCM.
Hii inatokana na jina LA Wenje kumtesa moyoni.
Clip inafuata