Uchaguzi 2020 Pombe Magufuli amnadi Ezekia Wenje(CHADEMA) akidhani ndiye Mgombea wa CCM

Wekeni kavedeo basi na nyie, khaaaa. Si tulioko mbali hainigi bila ya kavedeo.
 
Wekeni hapa clip kabla Lumumba hawaja-edit!
 
Lazima wachanganyikiwe CCM Mpya

3 Sep 2020
Mgombea ubunge Jimbo la Rorya kupitia CHADEMA, Ezekiel Wenje amepata mapokezi makubwa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 jimboni humo uliofanyika Septemba 02, 2020.
Wenje alikuwa mbunge wa Nyamagana mwaka 2010/15 na aliondolewa na Stanslaus Mabula wa CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 hivyo mwaka huu 2020 anasaka tena nafasi ya kurejea bungeni kupitia jimbo la nyumbani kwao, Rorya.
 
Aiseee mzee baba kachanganyikiwa mpaka anaomba poo mtawapaje wengine miaka mingi ya urais mimi munipe miaka 5 tu.🀣🀣


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Na ndiyo maana hayupo mfanyakazi wa nchi hii mwenye akili zake timamu kichwani, anaweza kumfagilia huyo magufuli kwa chochote.

Kiufupi tu hana faida kwa wafanyakazi wa nchi hii. Amejawa tu na dharau, kiburi, roho mbaya na ya kikatili, ubinafsi, unafiki, ubaguzi, nk. Nachelea tu kumuombea mabaya kwa sababu na yeye ni binadamu kama mimi! ila kiukweli anatuzingua sana wafanyakazi.


Maoni ya mdau wa jf
 
Ya Morogoro yatajirudia sana!! Ndio maana inabidi wajipitishe bila kupingwa!!!
 
Tv za ufipa huwa zinatoa tafsiri kwa Lugha wanayoielewa wao.
 
Ha ha ha ha kada una matatizo wewe sio bure.
Bavicha bwana nadhani wanalugha yao maalum ya mawasiliano , mtu anasema hivi wao wanakuja na tafsiri yao ya kustaajabisha sana yaani mpaka unajiuliza hii wameitoa wapi.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…lete clip naona wikendi hii wagombea wa ccm sijui wamekunywa gongo yaani full vichekesho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…