Hata dawa si nzuri lakini inabidi unywe kakaDah! Dada bana... Mada nyingine sio nzuri weekend na tarehe za kichele ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hata dawa si nzuri lakini inabidi unywe kaka
Ila kweli hadi serikali imeruhusu kulipa kodi muda wote tena kwa kuanzia elfu moja.Sema walipa kodi wakubwa
Jr[emoji769]
Walevi hawaandamani ila effect yao inaonekanaIla kweli hadi serikali imeruhusu kulipa kodi muda wote tena kwa kuanzia elfu moja.
Kuacha kabisa? sasa tutaregulate vipi mapigo yetu ya moyo!?😛. Everything in excess ni tatizo.Kuwa salama ni kheri kuacha kunywa kabisa.i.
Dada hata bailey ni mbaya?View attachment 846245
Hakuna kiwango cha unywaji wa pombe kitakachokuacha salama. Ingawa pombe inasaidia ku regulate mapigo ya moyo lakini inahusishwa kuwa chanzo cha aina saba za cancer.
Kuwa salama ni kheri kuacha kunywa kabisa.
WHO guidelines ni unit 14 za pombe kwa wiki. Hii ni sawa na paint 6 za bia au glass saba za wine. Katika dunia kwa kila watu watatu mmoja ni mnywaji.
[emoji106]View attachment 846245

[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 846245