Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hakuna kiwango cha unywaji wa pombe kitakachokuacha salama. Ingawa pombe inasaidia ku regulate mapigo ya moyo lakini inahusishwa kuwa chanzo cha aina saba za cancer.
Kuwa salama ni kheri kuacha kunywa kabisa.
WHO guidelines ni unit 14 za pombe kwa wiki. Hii ni sawa na paint 6 za bia au glass saba za wine. Katika dunia kwa kila watu watatu mmoja ni mnywaji.