Pombe ni mbaya kwa afya yako

Pombe ni mbaya kwa afya yako

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1535163634303.jpeg

Hakuna kiwango cha unywaji wa pombe kitakachokuacha salama. Ingawa pombe inasaidia ku regulate mapigo ya moyo lakini inahusishwa kuwa chanzo cha aina saba za cancer.

Kuwa salama ni kheri kuacha kunywa kabisa.

WHO guidelines ni unit 14 za pombe kwa wiki. Hii ni sawa na paint 6 za bia au glass saba za wine. Katika dunia kwa kila watu watatu mmoja ni mnywaji.
 
View attachment 846245

Dada hata bailey ni mbaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 846245

Hakuna kiwango cha unywaji wa pombe kitakachokuacha salama. Ingawa pombe inasaidia ku regulate mapigo ya moyo lakini inahusishwa kuwa chanzo cha aina saba za cancer.

Kuwa salama ni kheri kuacha kunywa kabisa.

WHO guidelines ni unit 14 za pombe kwa wiki. Hii ni sawa na paint 6 za bia au glass saba za wine. Katika dunia kwa kila watu watatu mmoja ni mnywaji.
[emoji106]
 
Narekebisha :

14 Units (140mls) kwa mwanamke kwa wiki na 21 (210mls) Units kwa mwanaume kwa wiki ndo recommended.
 
Back
Top Bottom