Pombe ni starehe isiyofaa

Ukiona umevuta bangi ukapiga deki ukuta ujue ya kwamba mizimu ya kwenu imekataa usivute. Watu wanavuta na bado wanaendelea na kazi zao kama kawaida.
 
Pitia hapa
 
Mtu huyu huyu tukisema gesti na lodge zipigwe marufuku atang'aka kama paka. Huu ni ubinafsi, pombe ishapigwa marufuku uarabuni lakini matajiri wanazo kwenye mafiriji yao hapohapo Riyadh na Muscat
 
Kumbukeni mbinguni tunapewa miili mipya...sasa ww mapafu yako na maini yako yaliyo safi cjui unaenda mringishia nani mbinguni...:hunywi pombe...huvuti sigara...huvuti bangi...hupendi wanawake...sasa starehe yako nn...ww utakuwa yule wa pita huku...
 
Ukiona umevuta bangi ukapiga deki ukuta ujue ya kwamba mizimu ya kwenu imekataa usivute. Watu wanavuta na bado wanaendelea na kazi zao kama kawaida.
Ushawahi kuvuta bangi. Au huwa unapuliza tu moshi wa kipisi.
Ushawahi kuvuta?
 
Ushawahi kuvuta bangi. Au huwa unapuliza tu moshi wa kipisi.
Ushawahi kuvuta?
Nikisema nimewahi au sijawahi utaamini? Nitaongeleaje kitu abacho sikijui? Wanaovuta kipisi ndo hao wanadeki ukuta
 
Nikisema nimewahi au sijawahi utaamini? Nitaongeleaje kitu abacho sikijui?
Naweza sema hujawahi, ila uliwahi kupuliza tu moshi. Huwezi fananisha unywaji pombe na uvutaji bangi. Hivi vitu vina sense tofauti kabisa. Tumeisha na walaibu, na tushawahi kuwa walaibu wa vitu hivo. Maoni yangu unaweza yachukua au kuyaacha.
Ila bangi kwa upande wangu hapana. Watu wanywe pombe tu.
 
Vichwa vinatofautiana. Kama ilikukataa ikakufanya upige deki ukuta pole haikufai pombe ndo size yako
 
Inategemea na mtu mwenyewe, sasa mtu chakula kizuri hali, mazoez hana anakunywa matap tap unategemea atapata nguvu kweli, labda nguvu za kuamka na kufungua macho.
 
Kunywa kiwango ndio mpango mzima.
 
Avatari yako inasadifu hali halisiπŸ™ŒπŸ˜¬πŸ˜¬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…