Pombe ni starehe isiyofaa

Watu woote tungekuwa walevi hii nchi ingekuwa na amani sana 7bu wachawi na waganga wa kienyeji siyo walevi! Wabakaji na walawiti waliowengi si walevi, watu wenye fikra pevu wasomi na wataalamu wakubwa ni walevi tena ukimkuta daktari bingwa anapiga vyombo yaani zile Cocktail za kufa mtu ndo anakuja kukupasua figo ili kuziweka sawa Glomerulla filtrates na loop of Henry! Pombe ihimidiwe ameen
 
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Wanakuuliza juu ya ulevi na kamari.

Sema: Katika hivyo mna madhara makubwa na (baadhi ya) manufaa kwa (baadhi ya) watu. Lakini madhara yake ni makubwa zaidi kuliko manufaa yake.” (Al-Baqarah: 219)

Vile vile twaambiwa katika Ayah nyingine:

“Kwa hakika Shaitani anataka kukutilieni uadui na bughudha baina yenu kwa ajili ya ulevi na kamari na antaka kukuzuilieni dhikri za Allah na kusali. Basi je mtaacha hayo? (Al - Maida: 93)
 
sijawahi kumuona mvuta bangi mwenye nguvu, sana sana wana nguvu za kupayuka na kuzururala
 
Kwa hyo huko akhera Pombe ipo sio uongo?sasa si bora nianze kuinywa hapa Duniani ili nikifika huko Akhera niwe konki?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kama Daudi Nabii alicheza uchi sababu ya pombe, vipi wewe Binadamu tu wa kawaida?

Ke na Me wengi sana wamejikuta wakifanyiwa ujinga wa uasherati na usodoma wakiambukizwa magonjwa ya zinaa na hata UKIMWI sababu ya kutojitambua wakiwa wameshalewa, baada ya akili kurudi tu wanatambua walishaharibiwa sehemu zao za siri.

Kunywa pombe kwa starehe yako lakini usijaribu kuitetea kuwa haina matatizo kabisa hapo tutakesha hapa tukibishana.
 
wa upande wangu naona Bora hata bangi iruhusiwe halafu pombe ipigwe marufuku kwani sijawahi kumuona mvutabangi anakosa nguvu ya Kufanya kazi au anasababisha ajali barabarani tofauti na walevi wa pombe wafanyavyo.
naona umeamua kujipigia debe kwenye bange zako unazovuta zihalalishwe!
Hukuwa na haja ya kupinga pombe ungeenda kwenye mada ya kuomba bange nazo ziruhusiwe ili uwe huru!
 
We endelea na juice. Pombe waachie wanaume tu
 
Nimelewa nadrive nakugonga unakufa...masikin mtiifu pombe hujanywa na umekufa...madhara popote tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…