Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Mambo vipi wale vijana wote wenye maini na figo safi kabisa kwa utendaji kazi mwilini, lakini inakuaje wanangu wote wazee wa kamnyweso, wazee wa kula gambe, kula kilaji, kuuchapa mtungi na kumwagilia moyo. Dah, huko maeneo yetu (bar, clubs, vijiweni, vilabuni, mtaani) tukishaelewa tunakua na vituko na matukio mengi sana.
Haya ni baadhi ya matukio/vituko vya wanangu wakisha kula pombe (gambe).
1. Hahah kuna mwanangu mmoja siku hiyo tumekula pombe kufika mida ya nane usiku tukapoteana, kufika asubuh napigiwa simu jamaa kawekwa ndani kituo cha polisi, chap chap mpaka pale nilishangaa kuambiwa eti jamaa alienda kumchenjia askari flani pale pale kituoni usiku wa manane kisa eti askar anamfatilia demu wake, jamaa alikula kichapo mpaka alikua hawezi kutembea.
2. Kuna mwanangu yeye hata awe na millioni mfukoni, anakula bingwa au balimi tu, sasa akishakolea tu mtajuta mliekuja nae, anaenda kwenyemeza zingne na kuwaambia wadada "mmewaona wale jamaa pale (tuliokuja nae sasa) wamesema agizeni serengeti kadhaa wao watalipia.
Huyo mwanangu namba 2 akishakolea usimruhusu akatoka mezani, akitoka tu basi kuna mawili, wakaja wahudumu kukudai bill au akaja mdada akidai et umemuita.
3. Nina huyo mwanangu anakunywa pombe mara moja kwa mwezi, ila akienda tu kunywa lazma arudi home bila simu afu miguuni peku au kavaa kiatu kimoja.