Pombe sio chai: Matukio na vituko vyangu /wanangu wakishalewa pombe

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,754
Reaction score
8,750
Mambo vipi wale vijana wote wenye maini na figo safi kabisa kwa utendaji kazi mwilini, lakini inakuaje wanangu wote wazee wa kamnyweso, wazee wa kula gambe, kula kilaji, kuuchapa mtungi na kumwagilia moyo. Dah, huko maeneo yetu (bar, clubs, vijiweni, vilabuni, mtaani) tukishaelewa tunakua na vituko na matukio mengi sana.

Haya ni baadhi ya matukio/vituko vya wanangu wakisha kula pombe (gambe).

1. Hahah kuna mwanangu mmoja siku hiyo tumekula pombe kufika mida ya nane usiku tukapoteana, kufika asubuh napigiwa simu jamaa kawekwa ndani kituo cha polisi, chap chap mpaka pale nilishangaa kuambiwa eti jamaa alienda kumchenjia askari flani pale pale kituoni usiku wa manane kisa eti askar anamfatilia demu wake, jamaa alikula kichapo mpaka alikua hawezi kutembea.

2. Kuna mwanangu yeye hata awe na millioni mfukoni, anakula bingwa au balimi tu, sasa akishakolea tu mtajuta mliekuja nae, anaenda kwenyemeza zingne na kuwaambia wadada "mmewaona wale jamaa pale (tuliokuja nae sasa) wamesema agizeni serengeti kadhaa wao watalipia.

Huyo mwanangu namba 2 akishakolea usimruhusu akatoka mezani, akitoka tu basi kuna mawili, wakaja wahudumu kukudai bill au akaja mdada akidai et umemuita.

3. Nina huyo mwanangu anakunywa pombe mara moja kwa mwezi, ila akienda tu kunywa lazma arudi home bila simu afu miguuni peku au kavaa kiatu kimoja.
 
4. Kuna dada nirafiki yangu akishakula gambe zikakaa mahali pake, bs utawajua wanaume wote alowah kudate nao, siku tupo mim yeye na jamaa ake tunakula kilaji, bs jamaa akaenda toi one time, dada akaanza kuniambia kuhusu jamaa ake like (usilione lirefu hvo, usiku kucha kazi kunilamba lamba tu, likipanda juu hamna kitu linanichafua tu) nilichoka
 
Kuna wana wakilewa pombe wanakua wakorofi kinoma, wanajikuta mbaaavuuu.

Kuna mmoja siku moja tulikua nae keko kanywa kaiva, akaanza kuleta mipango sio, baunsa yeye...ukimwambia atulie anakuvunjia chupa. Akakutana na vichwa vya keko kilichofuata hapo tulibaki kumuangalia tu maana alizidi ubishi.

Kuna mwingine asipolewa mpoleee...akilewa Sasa anavyocheza mziki na style zake za peke yake😂😂😂...wakati huo shati kaivua kaifunga kichwani Kama Rambo....😂😂😂😂😂
 
Kuna siku tupo na mwanangu flani tumewaka kichizi tunaelekea magetoni, kufika maeneo ya sokoni tukamkuta mgambo mbele ya duka flan kalala kweny kiti, tukamuamsha kwa kummwagia pombe kichwani (tuliiweka kwenye kopo la energy). Then tukaanza kumchimba biti la kufa mtu kwamba sisi ni wajeda na kwa nin alale kazini, bs kumbe nyuma ya yale maduka kuna wenzie kama sita hv wapo kula bangi na wanatuskia vizur tambo zetu. Tulikula virungu siku hyo sitosahau
 
Kuna wana wakilewa pombe wanakua wakorofi kinoma, wanajikuta mbaaavuuu.

Kuna mmoja siku moja tulikua nae keko kanywa kaiva, akaanza kuleta mipango sio, baunsa yeye...ukimwambia atulie anakuvunjia chupa. Akakutana na vichwa vya keko kilichofuata hapo tulibaki kumuangalia tu maana alizidi ubishi.

Kuna mwingine asipolewa mpoleee...akilewa Sasa anavyocheza mziki na style zake za peke yake😂😂😂...wakati huo shati kaivua kaifunga kichwani Kama Rambo....😂😂😂😂😂
😂
 
Mambo vipi wale vijana wote wenye maini na figo safi kabisa kwa utendaji kazi mwilini, lakini inakuaje wanangu wote wazee wa kamnyweso, wazee wa kula gambe, kula kilaji, kuuchapa mtungi na kumwagilia moyo. Dah, huko maeneo yetu (bar, clubs, vijiweni, vilabuni, mtaani) tukishaelewa tunakua na vituko na matukio mengi sana.

Haya ni baadhi ya matukio/vituko vya wanangu wakisha kula pombe (gambe).

1. Hahah kuna mwanangu mmoja siku hiyo tumekula pombe kufika mida ya nane usiku tukapoteana, kufika asubuh napigiwa simu jamaa kawekwa ndani kituo cha polisi, chap chap mpaka pale nilishangaa kuambiwa eti jamaa alienda kumchenjia askari flani pale pale kituoni usiku wa manane kisa eti askar anamfatilia demu wake, jamaa alikula kichapo mpaka alikua hawezi kutembea.

2. Kuna mwanangu yeye hata awe na millioni mfukoni, anakula bingwa au balimi tu, sasa akishakolea tu mtajuta mliekuja nae, anaenda kwenyemeza zingne na kuwaambia wadada "mmewaona wale jamaa pale (tuliokuja nae sasa) wamesema agizeni serengeti kadhaa wao watalipia.

Huyo mwanangu namba 2 akishakolea usimruhusu akatoka mezani, akitoka tu basi kuna mawili, wakaja wahudumu kukudai bill au akaja mdada akidai et umemuita.

3. Nina huyo mwanangu anakunywa pombe mara moja kwa mwezi, ila akienda tu kunywa lazma arudi home bila simu afu miguuni peku au kavaa kiatu kimoja.
Namba 3 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna wana wakilewa pombe wanakua wakorofi kinoma, wanajikuta mbaaavuuu.

Kuna mmoja siku moja tulikua nae keko kanywa kaiva, akaanza kuleta mipango sio, baunsa yeye...ukimwambia atulie anakuvunjia chupa. Akakutana na vichwa vya keko kilichofuata hapo tulibaki kumuangalia tu maana alizidi ubishi.

Kuna mwingine asipolewa mpoleee...akilewa Sasa anavyocheza mziki na style zake za peke yake
 
Umenikumbusha kitambo enzi tuko chuo[emoji23][emoji23] kuna masta mmoja boom likitoka tu ni mwendo wa tungi,

akipiga bia tatu fujo zake hatari...aliwahi mkataa demu wake na vibao juu, nauli ya buku boda anapewa 5000[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa angu akishalewa afu akapanda boda anaanza kupiga matako wadada barabarani (sexual arassment)

Kuna nchi inaitwa malawi kule kila pombe unaijua duniani kwao ni halali kama gongo kule ni grade A tu,

Hahahah watakuja kumdaka siku moja wampige.

btw, pombe za malawi na zambia achana nazo kabisa kaka, yan zile hamna hamna sana bs ni alcohol 40%,
 
Kwa wenyeji wa mbeya tukuyu, kuna siku nilikula mzinga moja na nusu wa kvant nikatoka pale saa saba usiku, ili nielekee home kwa baba angu mkubwa (bagamoyo), bs bhana mpaka kunakucha saa kumi na mbili kasoro nipo kweny michai ya kymbila naitafuta njia ya kwenda bagamoyo. Hahahaha. Nilishangaa sana
 
Umenikumbusha kitambo enzi tuko chuo[emoji23][emoji23] kuna masta mmoja boom likitoka tu ni mwendo wa tungi,

akipiga bia tatu fujo zake hatari...aliwahi mkataa demu wake na vibao juu, nauli ya buku boda anapewa 5000[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu pombe sio chai, hahaha
 
Back
Top Bottom