Hii imewai nitokea mara kama 2 au 3, na hio mimi inanitokea sana nikichanganya bia na pombe kaliKuna zile pigo, upo sehem unakula kilaji! Ubongo unazima ghafla, unastuka kumekucha upo kitandani, huelewi hata umefikaje
Hii imewai nitokea mara kama 2 au 3, na hio mimi inanitokea sana nikichanganya bia na pombe kali
[emoji23][emoji23]Kuna mwana akilewa ile tikatika ..utakuta anatulia kainamisha kichwa..akinyanyua kichwa juu ni kilio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka nilikuwa na test saa 9 mchana then usiku wake nilikuwa nakula vtu kama vyote mimi tena wana wote wanasema tupo na mkemia hapa.Mkuu, hyo tabia ya kujifanya mkemia mkuu nishakua nayo sana, ni mbaya kupita maelezo, na uamke asubuh huna hela ya supu! Weee! Siku nzima utakua kama unaumwa, mana hangover yake sio ya hapa kabisa
Nakumbuka nilikuwa na test saa 9 mchana then usiku wake nilikuwa nakula vtu kama vyote mimi tena wana wote wanasema tupo na mkemia hapa.
Ile test nilikula zero mana naamka mpk hyo saa 9 bado nna hang over kama madawq ya kulevya
[emoji1][emoji1][emoji1]Kuna mwana akilewa ile tikatika ..utakuta anatulia kainamisha kichwa..akinyanyua kichwa juu ni kilio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unazima wenyewe wanasema umekata ringi,Hii imewai nitokea mara kama 2 au 3, na hio mimi inanitokea sana nikichanganya bia na pombe kali
nilikua na mshikaji wangu huyo, yani akilewa tu hamlali anataka awasimulie jinsi rafiki yake aliuliwa.... usiku mzima ni stori na mtacheka sanaaaa hana vurugu kabisa...
ila kuna jamaa mmoja kitaa hapa yeye akishagongelea mvinyo kwa kichwa ni mwendo wa vifungu vya biblia na matusi juu.... ataimba mapambio kwa sauti husika kama katoka kwaya na ukikaa umsikilize anavyoimba unaburudika kabisa.... hapo ndio ninapokubaligi kuwa kuna wakati gambe inafumua record zote za ubongo na kuziweka wazi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna siku tupo na mwanangu flani tumewaka kichizi tunaelekea magetoni, kufika maeneo ya sokoni tukamkuta mgambo mbele ya duka flan kalala kweny kiti, tukamuamsha kwa kummwagia pombe kichwani (tuliiweka kwenye kopo la energy). Then tukaanza kumchimba biti la kufa mtu kwamba sisi ni wajeda na kwa nin alale kazini, bs kumbe nyuma ya yale maduka kuna wenzie kama sita hv wapo kula bangi na wanatuskia vizur tambo zetu. Tulikula virungu siku hyo sitosahau