Pombe sio chai: Matukio na vituko vyangu /wanangu wakishalewa pombe

Pombe sio chai: Matukio na vituko vyangu /wanangu wakishalewa pombe

Kuna shoo wangu mmoja yeye akilewa anatukana ex zake..na ndipo nilipogunduaga kumbe aliwahi kua wifi yangu ..pombe hizi😂😂
Tunaokunywa soda tunawachoraaa tu
 
Mkuu, hyo tabia ya kujifanya mkemia mkuu nishakua nayo sana, ni mbaya kupita maelezo, na uamke asubuh huna hela ya supu! Weee! Siku nzima utakua kama unaumwa, mana hangover yake sio ya hapa kabisa
Nakumbuka nilikuwa na test saa 9 mchana then usiku wake nilikuwa nakula vtu kama vyote mimi tena wana wote wanasema tupo na mkemia hapa.

Ile test nilikula zero mana naamka mpk hyo saa 9 bado nna hang over kama madawq ya kulevya
 
Nakumbuka nilikuwa na test saa 9 mchana then usiku wake nilikuwa nakula vtu kama vyote mimi tena wana wote wanasema tupo na mkemia hapa.

Ile test nilikula zero mana naamka mpk hyo saa 9 bado nna hang over kama madawq ya kulevya

Hahahah mkuu hangover ya tungi achana nayo kabisa.
 
nilikua na mshikaji wangu huyo, yani akilewa tu hamlali anataka awasimulie jinsi rafiki yake aliuliwa.... usiku mzima ni stori na mtacheka sanaaaa hana vurugu kabisa...
ila kuna jamaa mmoja kitaa hapa yeye akishagongelea mvinyo kwa kichwa ni mwendo wa vifungu vya biblia na matusi juu.... ataimba mapambio kwa sauti husika kama katoka kwaya na ukikaa umsikilize anavyoimba unaburudika kabisa.... hapo ndio ninapokubaligi kuwa kuna wakati gambe inafumua record zote za ubongo na kuziweka wazi🤣🤣🤣
 
Kuna siku nipo mshkaj bar flani tunakula vitu, jamaa akaamua kunipa wallet na simu nimshkie (hahah et akaona kwamba mim ndo siwezi lewa kifala), mida mida kila mtu akasepa kivyake, asubuh jamaa kaja geto kuchukua vitu vyake, nilibisha kabisa kwamba alinipatia mpaka tulikaribia kushkana mashati. Tukakata shaur kwamba tukaulize pale bar, kufika tukaanza kuuliza wahudumu kama wameokota wallet na simu. Ghafla akatokea dada mmoja muhudumu kwa sauti nyororo kabisa "kaka maso pa kyindi mbona ulinipa jana wew mwenyew afu hata hukusema kama nikushkie au lah, nilipotaka nikurejeshee vitu vyako ulikua unafoka"
nilisikia aibu sana
 
nilikua na mshikaji wangu huyo, yani akilewa tu hamlali anataka awasimulie jinsi rafiki yake aliuliwa.... usiku mzima ni stori na mtacheka sanaaaa hana vurugu kabisa...
ila kuna jamaa mmoja kitaa hapa yeye akishagongelea mvinyo kwa kichwa ni mwendo wa vifungu vya biblia na matusi juu.... ataimba mapambio kwa sauti husika kama katoka kwaya na ukikaa umsikilize anavyoimba unaburudika kabisa.... hapo ndio ninapokubaligi kuwa kuna wakati gambe inafumua record zote za ubongo na kuziweka wazi
 
Kuna jamaa langu likikolea mtindi linaanza mambo ya kisenge ,linaweza kuwaungia stori utasikia yule jamaa aliyekamatwa anampiga mashine Nguruwe Dodoma mnamjua? Wadau wakijibu hatumjui .Linanitaja mimi eti ndio huyu hapa ni rafiki yangu .Na mambo mengine ya kishenzi shenzi.
 
Kuna siku tupo na mwanangu flani tumewaka kichizi tunaelekea magetoni, kufika maeneo ya sokoni tukamkuta mgambo mbele ya duka flan kalala kweny kiti, tukamuamsha kwa kummwagia pombe kichwani (tuliiweka kwenye kopo la energy). Then tukaanza kumchimba biti la kufa mtu kwamba sisi ni wajeda na kwa nin alale kazini, bs kumbe nyuma ya yale maduka kuna wenzie kama sita hv wapo kula bangi na wanatuskia vizur tambo zetu. Tulikula virungu siku hyo sitosahau
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom