Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina🙏Mkuu labda nikupe mbinu niyotumia kuacha:
Kwanza ni dhamira, pili ni kutafuta kazi za kufanya baada ya kazi zitakazokufanya muda wa ziada uwe bize.
Tatu ni kuzigeuza bar zote kuwa ni vituo vya polisi, usipite wala kusogelea.
Nne,itunze dhamira yako kama nadhiri usiivunje.
Ukiyazingatia yote hayo utafanikiwa.
Ila sasa ndoto za kuota umekunywa na kulewa zitakusumbua kwa muda mrefu sana kama ulikuwa umefikia hatua hiyo ya ulevi.
Na mwisho jihadhari kwenye masherehe, usije ukaonja hata kwa kuzugia, ulevi utarudi kwa kasi kama kansa.
Nikutakie heri na fanaka katika kutimiza dhamira yako hiyo.
Hata wine huonji mamy?Hivi mnaipendea nini pombe?? Ni vile kujisikia kuyumba? Au ni vile unakua na mawenge au?
Duuuh laanatulahYeye alilewa aliporudi home akamla mamkwe
Naonja mpendwa...sio tu kuonja nakunywa kwa sbb hainiathiri kwny mwiliHata wine huonji mamy?
Vijana bhana. Haya sasa umkabidhi Yesu Kristo maisha yako manake unahitaji kufanya hivyo sasa imetosha au vp?Nianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha heshima yangu kazini na jamii inayonizunguka huko mtaani, kunitenga na Mungu wangu kiroho, kunirudisha nyuma kiuchumi, mafarakano na Mke wangu na aibu nyingine kede kede.
Ilifika January mosi na kweli nilifanikiwa kuacha pombe kwa takribani mwezi mzima wa January. Kimbembe kilikuja ilipofika mwezi February tarehe ya kuazimisha siku yangu ya kuzaliwa! Hapo ndo kama nilizaliwa upya na pombe huko uchagani nikiwa na kina Shirima, Lyimo, Shayo, Minja, Urassa na Mshana. Toka siku hiyo nimekuwa mraibu mkubwa sana wa haya mapombe ila naamini ipo siku nitaacha, ngoja kwanza nianze kujitenga na kampani za wanywaji kina Mshana Jr
Niende moja kwa moja kwenye point sasa.
Jana majira ya saa6 mchana nilitua uwanja wa ndege wa JNIA nikitokea bara Uropa kwa kazi fulani iliyochukua kama wiki moja. Nilipokelewa airport na rafiki yangu Bwana Lyimo na tukaenda moja kwa moja katika mghahawa fulani maeneo ya external kupata ugali nyama choma kabla ya kuanza kupiga vyombo. Baada ya msosi tuligonga vyombo viwili vitatu kusogeza muda.
Majira ya saa 12 hivi jioni tulihamia Julliana maeneo ya Africana Mbezi huku nikiwaalika wanywaji wengine 6 jumla tukawa nane.
Kiufupi nilikuwa na vidola kadhaa nilivyolipwa kwa safari ile nikaona sio mbaya tukinywa na marafiki huku tukipiga story mbili tatu za maisha. Watu walilewa vya kutosha kufikia saa8 usiku kila mmoja akaanza kutoroka bila kuaga.
Majira ya saa11 kasoro alfajiri tulikuwa tayari tumeshapauka vya kutosha mimi na Bwana Lyimo hivyo tukaona ni wakti muafaka wa kurejea nyumbani kulala.
Kwa kuwa kwa Bwana Lyimo ni maeneo jirani tu amepanga katika moja ya apartments fulani Mbezi Makonde niliona sio mbaya nikipumzika kwake then mchana nikishakaa sawa niondoke kuelekea Kigamboni.
Lyimo alinionesha chumba cha kulala nikaingia kupumzika. Dakika chache niliamka kwenda kuchukua simu niliisahau kwenye gari.
Mle kwenye gari kulikuwa pia na chupa kadhaa za vyombo tulivyoshindwa kumaliza tukavibeba. Uroho wa pombe nikaanza tena kuvipiga pale pale. Eh kidume kichwa kikawaka nikasahau hata nyumba ya Lyimo ni ipi nikajikuta nimeenda kuingia nyumba nyingine ambayo mwenyeji wake alisahau kufunga mlango kwa kuwa naye alikuwa vyombo.
He he he! Ishu iko hivi, mwenye nyumba niliyoingia ni mwanamke, mama mtu mzima kidogo ila anaishi na dada wa kazi na wanae wawili wadogo.
Huyu mama huo usiku alikuwa ametoka kwenye shughuli ya harusi, na huko naye alipiga vyombo vya kutosha akawa ndwiii! Alipofika kwake kwa hali ya ulevi alijibwaga chumbani akaacha milango bila kuilock na funguo. Mimi huyooo hata sijitambui, nikafungua wa sebuleni, nikafungua wa chumbani nikakuta jimama jeupe, limenona vyema. Eh pombe sio chai wakuu, nikapanda kitandani nikamvuta na yeye bila hiyana akanikumbatia tukalala fofofo! Saa 1 dakika 40 asubuhi simu yangu inaita nikashtuka, mama naye akashtuka.
Eh tukabaki tunaangaliana tumeduwaa. Mimi sijijui nipo wapi, yule mwanamke simjui, nashindwa kukumbuka imekuwa kuwaje mpaka tupo pale pamoja.
'Wewe! Umeingia ingiaje kwangu? We ni nani? He wewe?'- Aling'aka yule mama akiwa ameduwaa. Akiwa ameshashuka chini kasimama pembeni ya kitanda anatetemeka alinifokea nitoke ndani kwake haraka sana.
Hapo akili zikiwa zimeanza kurudi moja moja nilimjibu kwa upole kuwa mi mgeni wa Lyimo, na hapo nipo kwa Lyimo, ninachokumbuka ni kuwa nilikuwa nimelala mwenyewe, nikaamka kwenda kwenye gari kufata simu, nikaongeza na pombe na hapo ndo mwisho wa kumbukumbu zangu hata nashangaa imekuwaje nipo tena ndani na mwanamke. Akaniuliza kama tumesex nikamjibu sidhani, akajikagua kuhakikisha.
Hapo bado nina pombe, Lyimo ameshaamka, mkewe ameshaamka yupo hapo nje, watoto wameshaamka, kiufupi ni aibu!
Yule mama akatoka akaenda kuongea na Lyimo na mkewe, sijui waliongea nini Lyimo akanifata ananicheka hana mbavu.
Basi bwana nikatoka nayumba yumba na wenge la pombe. Kwa aibu na fedheha nikamsalimia mke wa Lyimo, nikamwambia "Shemeji utanisamehe sana kwa hili, sikuwa na nia mbaya ni matokeo ya mapombe tu haya, hatujafanya kitu. Naomba kwanza niende, pombe zikiniisha tutazungumza."
Basi Bwana nikaenda chumbani kuvaa shati na viatu kisha tukaondoka na Lyimo Kwenda pub fulani jirani kutia vyombo viwili vitatu huku nikimueleza kuwa nilitoka kufata simu kwenye gari na baada ya kunywa tena ndipo nilipojikuta naamka nyumba nyingine tena nikiwa na mwanamke kitandani na wakati hapo awali nilikuwa mwenyewe.
Lyimo akaniambia nimechanganya nyumba, na huyo mama ni mjane, mumewe alifariki kwa ajali mwaka jana. Huwa hatumii sana vilevi ila huo usiku inaonekana alionja viwili vitatu kwenye harusi.
Nilimueleza kuwa sijagonga na akirudi home anisaidie kuniombea msamaha kwa shemeji asinielewe vibaya, sikudhamiria.
Ulipoamka ulijisikiaje mkunduni, haukuwa na maumivu, mimavi pembeni ya shuka? Maana wanawake wa siku hizi wanawageuza sana wanaume walevi kwa kuwabaka na kuwakomoa.Nianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha heshima yangu kazini na jamii inayonizunguka huko mtaani, kunitenga na Mungu wangu kiroho, kunirudisha nyuma kiuchumi, mafarakano na Mke wangu na aibu nyingine kede kede.
Ilifika January mosi na kweli nilifanikiwa kuacha pombe kwa takribani mwezi mzima wa January. Kimbembe kilikuja ilipofika mwezi February tarehe ya kuazimisha siku yangu ya kuzaliwa! Hapo ndo kama nilizaliwa upya na pombe huko uchagani nikiwa na kina Shirima, Lyimo, Shayo, Minja, Urassa na Mshana. Toka siku hiyo nimekuwa mraibu mkubwa sana wa haya mapombe ila naamini ipo siku nitaacha, ngoja kwanza nianze kujitenga na kampani za wanywaji kina Mshana Jr
Niende moja kwa moja kwenye point sasa.
Jana majira ya saa6 mchana nilitua uwanja wa ndege wa JNIA nikitokea bara Uropa kwa kazi fulani iliyochukua kama wiki moja. Nilipokelewa airport na rafiki yangu Bwana Lyimo na tukaenda moja kwa moja katika mghahawa fulani maeneo ya external kupata ugali nyama choma kabla ya kuanza kupiga vyombo. Baada ya msosi tuligonga vyombo viwili vitatu kusogeza muda.
Majira ya saa 12 hivi jioni tulihamia Julliana maeneo ya Africana Mbezi huku nikiwaalika wanywaji wengine 6 jumla tukawa nane.
Kiufupi nilikuwa na vidola kadhaa nilivyolipwa kwa safari ile nikaona sio mbaya tukinywa na marafiki huku tukipiga story mbili tatu za maisha. Watu walilewa vya kutosha kufikia saa8 usiku kila mmoja akaanza kutoroka bila kuaga.
Majira ya saa11 kasoro alfajiri tulikuwa tayari tumeshapauka vya kutosha mimi na Bwana Lyimo hivyo tukaona ni wakti muafaka wa kurejea nyumbani kulala.
Kwa kuwa kwa Bwana Lyimo ni maeneo jirani tu amepanga katika moja ya apartments fulani Mbezi Makonde niliona sio mbaya nikipumzika kwake then mchana nikishakaa sawa niondoke kuelekea Kigamboni.
Lyimo alinionesha chumba cha kulala nikaingia kupumzika. Dakika chache niliamka kwenda kuchukua simu niliisahau kwenye gari.
Mle kwenye gari kulikuwa pia na chupa kadhaa za vyombo tulivyoshindwa kumaliza tukavibeba. Uroho wa pombe nikaanza tena kuvipiga pale pale. Eh kidume kichwa kikawaka nikasahau hata nyumba ya Lyimo ni ipi nikajikuta nimeenda kuingia nyumba nyingine ambayo mwenyeji wake alisahau kufunga mlango kwa kuwa naye alikuwa vyombo.
He he he! Ishu iko hivi, mwenye nyumba niliyoingia ni mwanamke, mama mtu mzima kidogo ila anaishi na dada wa kazi na wanae wawili wadogo.
Huyu mama huo usiku alikuwa ametoka kwenye shughuli ya harusi, na huko naye alipiga vyombo vya kutosha akawa ndwiii! Alipofika kwake kwa hali ya ulevi alijibwaga chumbani akaacha milango bila kuilock na funguo. Mimi huyooo hata sijitambui, nikafungua wa sebuleni, nikafungua wa chumbani nikakuta jimama jeupe, limenona vyema. Eh pombe sio chai wakuu, nikapanda kitandani nikamvuta na yeye bila hiyana akanikumbatia tukalala fofofo! Saa 1 dakika 40 asubuhi simu yangu inaita nikashtuka, mama naye akashtuka.
Eh tukabaki tunaangaliana tumeduwaa. Mimi sijijui nipo wapi, yule mwanamke simjui, nashindwa kukumbuka imekuwa kuwaje mpaka tupo pale pamoja.
'Wewe! Umeingia ingiaje kwangu? We ni nani? He wewe?'- Aling'aka yule mama akiwa ameduwaa. Akiwa ameshashuka chini kasimama pembeni ya kitanda anatetemeka alinifokea nitoke ndani kwake haraka sana.
Hapo akili zikiwa zimeanza kurudi moja moja nilimjibu kwa upole kuwa mi mgeni wa Lyimo, na hapo nipo kwa Lyimo, ninachokumbuka ni kuwa nilikuwa nimelala mwenyewe, nikaamka kwenda kwenye gari kufata simu, nikaongeza na pombe na hapo ndo mwisho wa kumbukumbu zangu hata nashangaa imekuwaje nipo tena ndani na mwanamke. Akaniuliza kama tumesex nikamjibu sidhani, akajikagua kuhakikisha.
Hapo bado nina pombe, Lyimo ameshaamka, mkewe ameshaamka yupo hapo nje, watoto wameshaamka, kiufupi ni aibu!
Yule mama akatoka akaenda kuongea na Lyimo na mkewe, sijui waliongea nini Lyimo akanifata ananicheka hana mbavu.
Basi bwana nikatoka nayumba yumba na wenge la pombe. Kwa aibu na fedheha nikamsalimia mke wa Lyimo, nikamwambia "Shemeji utanisamehe sana kwa hili, sikuwa na nia mbaya ni matokeo ya mapombe tu haya, hatujafanya kitu. Naomba kwanza niende, pombe zikiniisha tutazungumza."
Basi Bwana nikaenda chumbani kuvaa shati na viatu kisha tukaondoka na Lyimo Kwenda pub fulani jirani kutia vyombo viwili vitatu huku nikimueleza kuwa nilitoka kufata simu kwenye gari na baada ya kunywa tena ndipo nilipojikuta naamka nyumba nyingine tena nikiwa na mwanamke kitandani na wakati hapo awali nilikuwa mwenyewe.
Lyimo akaniambia nimechanganya nyumba, na huyo mama ni mjane, mumewe alifariki kwa ajali mwaka jana. Huwa hatumii sana vilevi ila huo usiku inaonekana alionja viwili vitatu kwenye harusi.
Nilimueleza kuwa sijagonga na akirudi home anisaidie kuniombea msamaha kwa shemeji asinielewe vibaya, sikudhamiria.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yeye alilewa aliporudi home akamla mamkwe
Usiombe yakukute, unaweka ahadi ya kuacha pombe papo hapo na viapo kama vyote😅naendelea kusoma shuhuda za walevi
Ushauri mzuri Sana nitajaribu kuuzingatia pombe inatesa jamani dahNipo napitia machapisho mbalimbali kuhusu mbinu za kuacha pombe.
Tukumbuke madhila ambayo tumepata yakisababishwa na pombe, tuichukie kwa kutupelekea kupata madhila hayo.
Tuweke nia thabiti ya kuachana nayo kabisa.
Tukubali kutenga baadhi ya marafiki, kampani ya pombe.
Tukatae katu katu kwenda mazingira yenye ushawishi wa pombe (Bar, clubs etc)
Tutafute cha kufanya kama mbadala wa pombe mathalani kukaa idle humpelekea mtu kuwaza kwenda tena bar kusogeza muda hivyo ni vyema ukajikita katika usomaji vitabu, watching movies nk.
Tukumbuke pia madhara ya pombe kiafya.
Mimi naanza na kuwakataa marafiki wa pombe, maana ndo kikwazo
Mwenyezi Mungu akufanikishie uweze kuacha!Ushauri mzuri Sana nitajaribu kuuzingatia pombe inatesa jamani dah
Hii nzuri hii, kama mkwe hakubakwa aliridhia mwenyewe basi kesho unakunywa Tena ukirudi unachakata mbususu unasingizia pombeYeye alilewa aliporudi home akamla mamkwe