muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Ha haUnakimbilia wapi bro? Umesoma story mpaka mwisho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haUnakimbilia wapi bro? Umesoma story mpaka mwisho?
Sikugusa mkuu, hata hiyo akili haikuwepoNi kama hukumla huyo jimama
Siyo kima mkuu wewe ni kiazi kabisaTupatie kaushuhuda kidogo mkuu, mimi nimetoa ushuhuda wangu huo.
Japo ninazo shuhuda nyingine nyingine ila hii nimepitiliza kwa kweli, najiona kima sana
Nipo napitia machapisho mbalimbali kuhusu mbinu za kuacha pombe.Mimi hapa Niko kupambana na hangover aisee niache pombe nasoma message nakuta nimetukanana na Mama Kijacho wangu mwe [emoji134] aisee niache pombe
Pole mkuu...tupo wote humu gerezaniPombe ni gereza tosha, sijui nitatoka lini?
Nafikiria mkuu sana hili sina cha kufanya kingine Mama yangu hii tabia inamsikitisha Sana Changamoto unajua ni nini Kaka sisi wanywaji tunaona pombe ndo kila kitu hivi week iliyopita nilitapika balaa nikaapa naacha Jana nimerudia na kutukana watu balaa nasikitika Sana hii hali.Nipo napitia machapisho mbalimbali kuhusu mbinu za kuacha pombe.
Tukumbuke madhila ambayo tumepata yakisababishwa na pombe, tuichukie kwa kutupelekea kupata madhila hayo.
Tuweke nia thabiti ya kuachana nayo kabisa.
Tukubali kutenga baadhi ya marafiki, kampani ya pombe.
Tukatae katu katu kwenda mazingira yenye ushawishi wa pombe (Bar, clubs etc)
Tutafute cha kufanya kama mbadala wa pombe mathalani kukaa idle humpelekea mtu kuwaza kwenda tena bar kusogeza muda hivyo ni vyema ukajikita katika usomaji vitabu, watching movies nk.
Tukumbuke pia madhara ya pombe kiafya.
Mimi naanza na kuwakataa marafiki wa pombe, maana ndo kikwazo
Mgeunganisha mbona ni kudra za Mungu ndio zimewakutanishaNianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha heshima yangu kazini na jamii inayonizunguka huko mtaani, kunitenga na Mungu wangu kiroho, kunirudisha nyuma kiuchumi, mafarakano na Mke wangu na aibu nyingine kede kede.
Ilifika January mosi na kweli nilifanikiwa kuacha pombe kwa takribani mwezi mzima wa January. Kimbembe kilikuja ilipofika mwezi February tarehe ya kuazimisha siku yangu ya kuzaliwa! Hapo ndo kama nilizaliwa upya na pombe huko uchagani nikiwa na kina Shirima, Lyimo, Shayo, Minja, Urassa na Mshana. Toka siku hiyo nimekuwa mraibu mkubwa sana wa haya mapombe ila naamini ipo siku nitaacha, ngoja kwanza nianze kujitenga na kampani za wanywaji kina Mshana Jr
Niende moja kwa moja kwenye point sasa.
Jana majira ya saa6 mchana nilitua uwanja wa ndege wa JNIA nikitokea bara Uropa kwa kazi fulani iliyochukua kama wiki moja. Nilipokelewa airport na rafiki yangu Bwana Lyimo na tukaenda moja kwa moja katika mghahawa fulani maeneo ya external kupata ugali nyama choma kabla ya kuanza kupiga vyombo. Baada ya msosi tuligonga vyombo viwili vitatu kusogeza muda.
Majira ya saa 12 hivi jioni tulihamia Julliana maeneo ya Africana Mbezi huku nikiwaalika wanywaji wengine 6 jumla tukawa nane.
Kiufupi nilikuwa na vidola kadhaa nilivyolipwa kwa safari ile nikaona sio mbaya tukinywa na marafiki huku tukipiga story mbili tatu za maisha. Watu walilewa vya kutosha kufikia saa8 usiku kila mmoja akaanza kutoroka bila kuaga.
Majira ya saa11 kasoro alfajiri tulikuwa tayari tumeshapauka vya kutosha mimi na Bwana Lyimo hivyo tukaona ni wakti muafaka wa kurejea nyumbani kulala.
Kwa kuwa kwa Bwana Lyimo ni maeneo jirani tu amepanga katika moja ya apartments fulani Mbezi Makonde niliona sio mbaya nikipumzika kwake then mchana nikishakaa sawa niondoke kuelekea Kigamboni.
Lyimo alinionesha chumba cha kulala nikaingia kupumzika. Dakika chache niliamka kwenda kuchukua simu niliisahau kwenye gari.
Mle kwenye gari kulikuwa pia na chupa kadhaa za vyombo tulivyoshindwa kumaliza tukavibeba. Uroho wa pombe nikaanza tena kuvipiga pale pale. Eh kidume kichwa kikawaka nikasahau hata nyumba ya Lyimo ni ipi nikajikuta nimeenda kuingia nyumba nyingine ambayo mwenyeji wake alisahau kufunga mlango kwa kuwa naye alikuwa vyombo.
He he he! Ishu iko hivi, mwenye nyumba niliyoingia ni mwanamke, mama mtu mzima kidogo ila anaishi na dada wa kazi na wanae wawili wadogo.
Huyu mama huo usiku alikuwa ametoka kwenye shughuli ya harusi, na huko naye alipiga vyombo vya kutosha akawa ndwiii! Alipofika kwake kwa hali ya ulevi alijibwaga chumbani akaacha milango bila kuilock na funguo. Mimi huyooo hata sijitambui, nikafungua wa sebuleni, nikafungua wa chumbani nikakuta jimama jeupe, limenona vyema. Eh pombe sio chai wakuu, nikapanda kitandani nikamvuta na yeye bila hiyana akanikumbatia tukalala fofofo! Saa 1 dakika 40 asubuhi simu yangu inaita nikashtuka, mama naye akashtuka.
Eh tukabaki tunaangaliana tumeduwaa. Mimi sijijui nipo wapi, yule mwanamke simjui, nashindwa kukumbuka imekuwa kuwaje mpaka tupo pale pamoja.
'Wewe! Umeingia ingiaje kwangu? We ni nani? He wewe?'- Aling'aka yule mama akiwa ameduwaa. Akiwa ameshashuka chini kasimama pembeni ya kitanda anatetemeka alinifokea nitoke ndani kwake haraka sana.
Hapo akili zikiwa zimeanza kurudi moja moja nilimjibu kwa upole kuwa mi mgeni wa Lyimo, na hapo nipo kwa Lyimo, ninachokumbuka ni kuwa nilikuwa nimelala mwenyewe, nikaamka kwenda kwenye gari kufata simu, nikaongeza na pombe na hapo ndo mwisho wa kumbukumbu zangu hata nashangaa imekuwaje nipo tena ndani na mwanamke. Akaniuliza kama tumesex nikamjibu sidhani, akajikagua kuhakikisha.
Hapo bado nina pombe, Lyimo ameshaamka, mkewe ameshaamka yupo hapo nje, watoto wameshaamka, kiufupi ni aibu!
Yule mama akatoka akaenda kuongea na Lyimo na mkewe, sijui waliongea nini Lyimo akanifata ananicheka hana mbavu.
Basi bwana nikatoka nayumba yumba na wenge la pombe. Kwa aibu na fedheha nikamsalimia mke wa Lyimo, nikamwambia "Shemeji utanisamehe sana kwa hili, sikuwa na nia mbaya ni matokeo ya mapombe tu haya, hatujafanya kitu. Naomba kwanza niende, pombe zikiniisha tutazungumza."
Basi Bwana nikaenda chumbani kuvaa shati na viatu kisha tukaondoka na Lyimo Kwenda pub fulani jirani kutia vyombo viwili vitatu huku nikimueleza kuwa nilitoka kufata simu kwenye gari na baada ya kunywa tena ndipo nilipojikuta naamka nyumba nyingine tena nikiwa na mwanamke kitandani na wakati hapo awali nilikuwa mwenyewe.
Lyimo akaniambia nimechanganya nyumba, na huyo mama ni mjane, mumewe alifariki kwa ajali mwaka jana. Huwa hatumii sana vilevi ila huo usiku inaonekana alionja viwili vitatu kwenye harusi.
Nilimueleza kuwa sijagonga na akirudi home anisaidie kuniombea msamaha kwa shemeji asinielewe vibaya, sikudhamiria.
Nilishawahi kuacha kwa style hiyo mkuu, kibunda kipo, napitia ka pub flani hivi kadogo dogo nakaa na wana nawanunulia, mimi nakunywa redbull, nilidumu kwa wiki mbili tyu!Kukataa kampani ya wana walevi ili uache huo ni udhaifu..... Ushujaa ni kuacha pombe ukiwa na Hela na uko bar na rafiki zako wewe unakunywa mahi wao unawanunulia pombe ukifanikiwa kuwa n hiyo courage umetoboa....
Sasa mkuu umeacha pombe unarudi home saa Moja jioni kufanya Nini? Kaa sehemu na wahuni ndiko tunakopeana pia deals......unaweza kuacha mtungi usave pesa na deals pia zinapotea
Me mwenyewe nipo kwenye battle ya kuacha matukio ya kijinga ninayo mengi sana
Kwa hali Ile ya tungi ndwiii usingeweza kufanya chochote mkuuBahati kama hizi sijui kwa nini nazikosa
Afadhali kesi ya ubakaji kuliko yeye mwenyewe kutolewa marinda yake kavukavu.Utapata kesi ya ubakaji
Pombe imeshusha sana heshima na hadhi ya wengi hatusemi tu. Pole mm yalinitokea makubwa zaidi ya hayo naogopa hata kukumbukaNianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha heshima yangu kazini na jamii inayonizunguka huko mtaani, kunitenga na Mungu wangu kiroho, kunirudisha nyuma kiuchumi, mafarakano na Mke wangu na aibu nyingine kede kede.