Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Bilauri aisee, mtihani mgumu sana kuushinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujibu harakaharaka kabla ya kuelewa kizungumzwacho.Hongera sana! Hutalipa tena pango hapo!.
Nimecheka kwa sautiBilauri aisee, mtihani mgumu sana kuushinda
akili yangu ilicho nasa ni limama jeupeee limenona vizuri😂,nimeharibikiwa kwa kwelNianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha heshima yangu kazini na jamii inayonizunguka huko mtaani, kunitenga na Mungu wangu kiroho, kunirudisha nyuma kiuchumi, mafarakano na Mke wangu na aibu nyingine kede kede.
Ilifika January mosi na kweli nilifanikiwa kuacha pombe kwa takribani mwezi mzima wa January. Kimbembe kilikuja ilipofika mwezi February tarehe ya kuazimisha siku yangu ya kuzaliwa! Hapo ndo kama nilizaliwa upya na pombe huko uchagani nikiwa na kina Shirima, Lyimo, Shayo, Minja, Urassa na Mshana. Toka siku hiyo nimekuwa mraibu mkubwa sana wa haya mapombe ila naamini ipo siku nitaacha, ngoja kwanza nianze kujitenga na kampani za wanywaji kina Mshana Jr
Niende moja kwa moja kwenye point sasa.
Jana majira ya saa6 mchana nilitua uwanja wa ndege wa JNIA nikitokea bara Uropa kwa kazi fulani iliyochukua kama wiki moja. Nilipokelewa airport na rafiki yangu Bwana Lyimo na tukaenda moja kwa moja katika mghahawa fulani maeneo ya external kupata ugali nyama choma kabla ya kuanza kupiga vyombo. Baada ya msosi tuligonga vyombo viwili vitatu kusogeza muda.
Majira ya saa 12 hivi jioni tulihamia Julliana maeneo ya Africana Mbezi huku nikiwaalika wanywaji wengine 6 jumla tukawa nane.
Kiufupi nilikuwa na vidola kadhaa nilivyolipwa kwa safari ile nikaona sio mbaya tukinywa na marafiki huku tukipiga story mbili tatu za maisha. Watu walilewa vya kutosha kufikia saa8 usiku kila mmoja akaanza kutoroka bila kuaga.
Majira ya saa11 kasoro alfajiri tulikuwa tayari tumeshapauka vya kutosha mimi na Bwana Lyimo hivyo tukaona ni wakti muafaka wa kurejea nyumbani kulala.
Kwa kuwa kwa Bwana Lyimo ni maeneo jirani tu amepanga katika moja ya apartments fulani Mbezi Makonde niliona sio mbaya nikipumzika kwake then mchana nikishakaa sawa niondoke kuelekea Kigamboni.
Lyimo alinionesha chumba cha kulala nikaingia kupumzika. Dakika chache niliamka kwenda kuchukua simu niliisahau kwenye gari.
Mle kwenye gari kulikuwa pia na chupa kadhaa za vyombo tulivyoshindwa kumaliza tukavibeba. Uroho wa pombe nikaanza tena kuvipiga pale pale. Eh kidume kichwa kikawaka nikasahau hata nyumba ya Lyimo ni ipi nikajikuta nimeenda kuingia nyumba nyingine ambayo mwenyeji wake alisahau kufunga mlango kwa kuwa naye alikuwa vyombo.
He he he! Ishu iko hivi, mwenye nyumba niliyoingia ni mwanamke, mama mtu mzima kidogo ila anaishi na dada wa kazi na wanae wawili wadogo.
Huyu mama huo usiku alikuwa ametoka kwenye shughuli ya harusi, na huko naye alipiga vyombo vya kutosha akawa ndwiii! Alipofika kwake kwa hali ya ulevi alijibwaga chumbani akaacha milango bila kuilock na funguo. Mimi huyooo hata sijitambui, nikafungua wa sebuleni, nikafungua wa chumbani nikakuta jimama jeupe, limenona vyema. Eh pombe sio chai wakuu, nikapanda kitandani nikamvuta na yeye bila hiyana akanikumbatia tukalala fofofo! Saa 1 dakika 40 asubuhi simu yangu inaita nikashtuka, mama naye akashtuka.
Eh tukabaki tunaangaliana tumeduwaa. Mimi sijijui nipo wapi, yule mwanamke simjui, nashindwa kukumbuka imekuwa kuwaje mpaka tupo pale pamoja.
'Wewe! Umeingia ingiaje kwangu? We ni nani? He wewe?'- Aling'aka yule mama akiwa ameduwaa. Akiwa ameshashuka chini kasimama pembeni ya kitanda anatetemeka alinifokea nitoke ndani kwake haraka sana.
Hapo akili zikiwa zimeanza kurudi moja moja nilimjibu kwa upole kuwa mi mgeni wa Lyimo, na hapo nipo kwa Lyimo, ninachokumbuka ni kuwa nilikuwa nimelala mwenyewe, nikaamka kwenda kwenye gari kufata simu, nikaongeza na pombe na hapo ndo mwisho wa kumbukumbu zangu hata nashangaa imekuwaje nipo tena ndani na mwanamke. Akaniuliza kama tumesex nikamjibu sidhani, akajikagua kuhakikisha.
Hapo bado nina pombe, Lyimo ameshaamka, mkewe ameshaamka yupo hapo nje, watoto wameshaamka, kiufupi ni aibu!
Yule mama akatoka akaenda kuongea na Lyimo na mkewe, sijui waliongea nini Lyimo akanifata ananicheka hana mbavu.
Basi bwana nikatoka nayumba yumba na wenge la pombe. Kwa aibu na fedheha nikamsalimia mke wa Lyimo, nikamwambia "Shemeji utanisamehe sana kwa hili, sikuwa na nia mbaya ni matokeo ya mapombe tu haya, hatujafanya kitu. Naomba kwanza niende, pombe zikiniisha tutazungumza."
Basi Bwana nikaenda chumbani kuvaa shati na viatu kisha tukaondoka na Lyimo Kwenda pub fulani jirani kutia vyombo viwili vitatu huku nikimueleza kuwa nilitoka kufata simu kwenye gari na baada ya kunywa tena ndipo nilipojikuta naamka nyumba nyingine tena nikiwa na mwanamke kitandani na wakati hapo awali nilikuwa mwenyewe.
Lyimo akaniambia nimechanganya nyumba, na huyo mama ni mjane, mumewe alifariki kwa ajali mwaka jana. Huwa hatumii sana vilevi ila huo usiku inaonekana alionja viwili vitatu kwenye harusi.
Nilimueleza kuwa sijagonga na akirudi home anisaidie kuniombea msamaha kwa shemeji asinielewe vibaya, sikudhamiria.
Pombe ni nzuri sana ukiwa na uwezo wa kuimiliki ila vinginevyo ni majanga.Ila jomba umekosea sana ungekula huo mzigo na ingewezekana muombe mtoke out na mkirudi mtakuwa marafiki. jimama jeupe hadi raha jamaniNianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha heshima yangu kazini na jamii inayonizunguka huko mtaani, kunitenga na Mungu wangu kiroho, kunirudisha nyuma kiuchumi, mafarakano na Mke wangu na aibu nyingine kede kede.
Ilifika January mosi na kweli nilifanikiwa kuacha pombe kwa takribani mwezi mzima wa January. Kimbembe kilikuja ilipofika mwezi February tarehe ya kuazimisha siku yangu ya kuzaliwa! Hapo ndo kama nilizaliwa upya na pombe huko uchagani nikiwa na kina Shirima, Lyimo, Shayo, Minja, Urassa na Mshana. Toka siku hiyo nimekuwa mraibu mkubwa sana wa haya mapombe ila naamini ipo siku nitaacha, ngoja kwanza nianze kujitenga na kampani za wanywaji kina Mshana Jr
Niende moja kwa moja kwenye point sasa.
Jana majira ya saa6 mchana nilitua uwanja wa ndege wa JNIA nikitokea bara Uropa kwa kazi fulani iliyochukua kama wiki moja. Nilipokelewa airport na rafiki yangu Bwana Lyimo na tukaenda moja kwa moja katika mghahawa fulani maeneo ya external kupata ugali nyama choma kabla ya kuanza kupiga vyombo. Baada ya msosi tuligonga vyombo viwili vitatu kusogeza muda.
Majira ya saa 12 hivi jioni tulihamia Julliana maeneo ya Africana Mbezi huku nikiwaalika wanywaji wengine 6 jumla tukawa nane.
Kiufupi nilikuwa na vidola kadhaa nilivyolipwa kwa safari ile nikaona sio mbaya tukinywa na marafiki huku tukipiga story mbili tatu za maisha. Watu walilewa vya kutosha kufikia saa8 usiku kila mmoja akaanza kutoroka bila kuaga.
Majira ya saa11 kasoro alfajiri tulikuwa tayari tumeshapauka vya kutosha mimi na Bwana Lyimo hivyo tukaona ni wakti muafaka wa kurejea nyumbani kulala.
Kwa kuwa kwa Bwana Lyimo ni maeneo jirani tu amepanga katika moja ya apartments fulani Mbezi Makonde niliona sio mbaya nikipumzika kwake then mchana nikishakaa sawa niondoke kuelekea Kigamboni.
Lyimo alinionesha chumba cha kulala nikaingia kupumzika. Dakika chache niliamka kwenda kuchukua simu niliisahau kwenye gari.
Mle kwenye gari kulikuwa pia na chupa kadhaa za vyombo tulivyoshindwa kumaliza tukavibeba. Uroho wa pombe nikaanza tena kuvipiga pale pale. Eh kidume kichwa kikawaka nikasahau hata nyumba ya Lyimo ni ipi nikajikuta nimeenda kuingia nyumba nyingine ambayo mwenyeji wake alisahau kufunga mlango kwa kuwa naye alikuwa vyombo.
He he he! Ishu iko hivi, mwenye nyumba niliyoingia ni mwanamke, mama mtu mzima kidogo ila anaishi na dada wa kazi na wanae wawili wadogo.
Huyu mama huo usiku alikuwa ametoka kwenye shughuli ya harusi, na huko naye alipiga vyombo vya kutosha akawa ndwiii! Alipofika kwake kwa hali ya ulevi alijibwaga chumbani akaacha milango bila kuilock na funguo. Mimi huyooo hata sijitambui, nikafungua wa sebuleni, nikafungua wa chumbani nikakuta jimama jeupe, limenona vyema. Eh pombe sio chai wakuu, nikapanda kitandani nikamvuta na yeye bila hiyana akanikumbatia tukalala fofofo! Saa 1 dakika 40 asubuhi simu yangu inaita nikashtuka, mama naye akashtuka.
Eh tukabaki tunaangaliana tumeduwaa. Mimi sijijui nipo wapi, yule mwanamke simjui, nashindwa kukumbuka imekuwa kuwaje mpaka tupo pale pamoja.
'Wewe! Umeingia ingiaje kwangu? We ni nani? He wewe?'- Aling'aka yule mama akiwa ameduwaa. Akiwa ameshashuka chini kasimama pembeni ya kitanda anatetemeka alinifokea nitoke ndani kwake haraka sana.
Hapo akili zikiwa zimeanza kurudi moja moja nilimjibu kwa upole kuwa mi mgeni wa Lyimo, na hapo nipo kwa Lyimo, ninachokumbuka ni kuwa nilikuwa nimelala mwenyewe, nikaamka kwenda kwenye gari kufata simu, nikaongeza na pombe na hapo ndo mwisho wa kumbukumbu zangu hata nashangaa imekuwaje nipo tena ndani na mwanamke. Akaniuliza kama tumesex nikamjibu sidhani, akajikagua kuhakikisha.
Hapo bado nina pombe, Lyimo ameshaamka, mkewe ameshaamka yupo hapo nje, watoto wameshaamka, kiufupi ni aibu!
Yule mama akatoka akaenda kuongea na Lyimo na mkewe, sijui waliongea nini Lyimo akanifata ananicheka hana mbavu.
Basi bwana nikatoka nayumba yumba na wenge la pombe. Kwa aibu na fedheha nikamsalimia mke wa Lyimo, nikamwambia "Shemeji utanisamehe sana kwa hili, sikuwa na nia mbaya ni matokeo ya mapombe tu haya, hatujafanya kitu. Naomba kwanza niende, pombe zikiniisha tutazungumza."
Basi Bwana nikaenda chumbani kuvaa shati na viatu kisha tukaondoka na Lyimo Kwenda pub fulani jirani kutia vyombo viwili vitatu huku nikimueleza kuwa nilitoka kufata simu kwenye gari na baada ya kunywa tena ndipo nilipojikuta naamka nyumba nyingine tena nikiwa na mwanamke kitandani na wakati hapo awali nilikuwa mwenyewe.
Lyimo akaniambia nimechanganya nyumba, na huyo mama ni mjane, mumewe alifariki kwa ajali mwaka jana. Huwa hatumii sana vilevi ila huo usiku inaonekana alionja viwili vitatu kwenye harusi.
Nilimueleza kuwa sijagonga na akirudi home anisaidie kuniombea msamaha kwa shemeji asinielewe vibaya, sikudhamiria.
Hapa namalizia Captain Morgan nilianza na Black and White...Pombe ni nzuri sana ukiwa na uwezo wa kuimiliki ila vinginevyo ni majanga.Ila jomba umekosea sana ungekula huo mzigo na ingewezekana muombe mtoke out na mkirudi mtakuwa marafiki. jimama jeupe hadi raha jamani
Mwanga wa taa na pombe sisawaHalafu sijui kunakuwaga na uhusiano gani kati ya giza na kulewa.
Kula pombe asubuhi mpaka jioni hauelewi, ila kula pombe jioni jioni tu uone, yaani ikifika saa4 saa5 tayari unapauka
Ni utumwa..Tunapata sana fedheha kwenye pombe, tukiamka asubuhi tunaapa kuacha ila ikifika jioni tumo tena tunapiga vitu. Dah hii kitu ni utumwa sana.
Unadhani mtumwa hawazagi jinsi ya kutoroka kwa bwana ake? Lakini kila siku anaendelea kumtumikia.🤣🤣Ni utumwa..
Tayari ni precedent itakuwa ikiongelewa kila leo kwenye story za pombe na wanaDaàaà jamaa nae ametengeneza movie is fupi mtaani pole sanaaa
Samahani sana mama mwenye nyumba!umejikagua vzr jamaa hajadokoa mboga kweli?.Acha kujibu harakaharaka kabla ya kuelewa kizungumzwacho.