Pombe sio chai. Nililala mwenyewe nimeamka na Mama mwenye nyumba, tunashangaana!

Amina🙏
 
Vijana bhana. Haya sasa umkabidhi Yesu Kristo maisha yako manake unahitaji kufanya hivyo sasa imetosha au vp?
 
Hivi inawezekana ikawa kweli wajameni[emoji23][emoji23][emoji23] aau ni chai maharage!
 
Kwelipombe si chai yaani ulizima ziiiiii na bado ukakumbuka matukio yote na muda kabisa.... utakuwa umelewa kama bara la uropa!!
 
Pombe kunywa kistaarabu,nilishakunywa pombe sana ila sijaona maajabu zaidi ya kuzima ,akiri huwa haipotei ila nguvu huisha na kushindwa kutembea😄😄
Hii hutokea baada ya miaka,ila tambueni kuna siku za kulewa sana isivyo kawaida na hii hutokea tu kwa wanywaji .

Pombe za kampani mbaya sana na hazijawahi kuwaacha salama wanywaji.
 
Uliwezaje kuacha pombe januari pekee? Ama kwa vile januari ni mwezi wa majukumu!
 
Ulipoamka ulijisikiaje mkunduni, haukuwa na maumivu, mimavi pembeni ya shuka? Maana wanawake wa siku hizi wanawageuza sana wanaume walevi kwa kuwabaka na kuwakomoa.
 
Ushauri mzuri Sana nitajaribu kuuzingatia pombe inatesa jamani dah
 
Ushauri mzuri Sana nitajaribu kuuzingatia pombe inatesa jamani dah
Mwenyezi Mungu akufanikishie uweze kuacha!

Mimi nina wiki sasa toka J2 mpaka leo sijanywa, naamini nitatoboa J3 maana hii weekend huwa na majaribu sana.

Ili kuondoa ushawishi wa kwenda kunywa leo nimeanza rasmi zoezi la kusoma na kutafakari biblia, nikimaliza naanza kucheza ETS 2 na GTA5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…