Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
huku mtaani watu wana maisha magumu sana hakuna anaewakumbuka kilichobaki ni kujipoza machungu na visungura.Ni viroba katika chupa za plastiki zenye kilevi cha 40 kikiwa kidogo unaweka hadi mfukoni hata mtoto anaweka, wanasema havina harufu kali so unaweza ukawa na mtu karibu anaongea upuuzi usijue kama kalewa.
Boda boda, machinga, wapiga debe na walevi wa kiwango cha umaskini ndio chao kwa bei ndogo vijana wanapotea maana kinaunguza maini na mfumo mzima wa afya ya akili na uzazi.
Serikali ipige marufuku hivi vidude vitaua vijana.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app