Pombe ya viroba sasa inaitwa "visungura", Serikali ichukue hatua haraka vijana wanapotea kwa kasi

Kimahesabu sijakuelewa! kwamba 40% alc kwenye lita moja ya maji ni ndogo kuliko 40%alc kwenye robo lita ya maji? Itabidi nirudi shule kwanza kusoma hesabu za percentage.
Hawa vijana waliosoma awamu ya mulugo TABU SANA[emoji1]
 
Kuna kijana wangu wa mtaa akiamka tu anafakamia kisungura ,akilala kiko pembeni .Chakula chake ni maandazi na energy.Nilashashauri sana tumebaki kumuangalia tu.
Huyu ndo anajiua kabisa😂Mimi nilivokua nakunywa smart kwanza nilikua nakula msos balaa kwasbaab ilikua inaniletea njaa mpk kilo zikaongezeka ila toka nimeacha rate ya kula imekua normal nahis hata kilo zangu zitakua zimeshuka all in all hizi vitu sio nzuri ukizidisha,,kunywa kwa kiasi mazoez meng maji mengi mlo kamili easy
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Ulikunywa hujala[emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wadau acheni kuharibu biashara za watu asee kama huyu Smart Gin asee katisha kamtoa double kick sokon kias kwamba wauzaj wengi hawaek double kick coz haziuliziwi na wazee wa ngumu kumeza.
 
Kimahesabu sijakuelewa! kwamba 40% alc kwenye lita moja ya maji ni ndogo kuliko 40%alc kwenye robo lita ya maji? Itabidi nirudi shule kwanza kusoma hesabu za percentage.
Kimahesabu itakubidi unywe ndio nzima ndio uipate hiyo 40% alcohol ila mwenzako chini ya robo lita tayari alishalewa tena kwa haraka sana kuwa kubwa ndani ya roho Lita anaipa 40%alcoh

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yake unakunywa maji mengi ya ziada yasiyo na maana Ili kuipata Ile 40alc, hivyo basi hesabu inabaki pale pale kuwa wote wapo sawa.
 
Kimahesabu itakubidi unywe ndio nzima ndio uipate hiyo 40% alcohol ila mwenzako chini ya robo lita tayari alishalewa tena kwa haraka sana kuwa kubwa ndani ya roho Lita anaipa 40%alcoh

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu za abv percentage hazipo hivyo hata kidogo

Konyagi ya 200mls Ina 35%abv na konyagi ya 750mls Ina 35%abv! Unataka kusema ukinywa ndogo ni sawa na ukinywa kubwa?

Nyi ndo mkikuta beer Ina alcohol 4 mtu akinywa kumi anasema nimekunywa alcohol 40
 
Jamani hizi percent za alcohol ni kiwango Cha alcohol kwenye kinywaji, kwa mfano alcohol yenye 40%abv Ina maana kiwango Cha alcohol kwenye ujazo wowote iwe (200mls, 500mls, 750mls) ni asilimia 40.. Ina maana ethanol inakua asilimia 40 na hio asilimia 60 mostly inakua maji wanayotumia kufanya dilution

Haya makampuni mengi yananunua ethanol ya kiwango kikubwa yaani industrial Ethanol zenye kuanzia 90%-95% abv ambazo haziruhusiwi kuuzwa huku mtaani, so wao wanazi dilute ili kupunguza Hio alcohol kwenda kwenye viwango vidogo

Sasa ukikuta pombe Ina 35%abv kama konyagi Ina maana kwenye Lita Moja pombe(ethanol) ni 350mls ambayo ni asilimia 35 na inayobaki 650mls sanasana ni maji yanayotumika ku dilute, kama pombe Ina 200mls Ina maana ethanol Itakua 70mls na dilution water 130mls!

Ukinywa bia yenye 4%abv Ina maana kwenye Kila Lita unayokunywa, only 40mls ni pombe na hio 960mls ni maji tu.... Ndo maana bia hazileweshi mapema
 
Sasa unashindwa kuelewa kitu gani ndugu? Huoni kwamba huyo anayekunywa 40% kwenye chupa ndogo ya mils 200 ana kiwango kidogo sana cha maji cha kuipoza tofauti na yule anayekunywa 40% kwenye chupa ya mils 750? Shule ulienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom