Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ukianza kuondoka pita hapa njiani mbugani makuyuni kama unaingia jeshini. Nipungie hata mkono kaka au ita tu Sura ya shetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ukianza kuondoka pita hapa njiani mbugani makuyuni kama unaingia jeshini. Nipungie hata mkono kaka au ita tu Sura ya shetani
Wanakwambia, SUNGURA HAPINGWI,Kwa hapa Dar kisungura ndio kinatamba. Ndio muda wao Smart Gin kupiga hela
Ndio dini yangu inakataza kuuza, kutengeneza, kutumia pombe, sigara, bangiDini inakataza?
Grants bei ghali.Alcohol 40 ya Sungura na Alcohol 40 ya Grants, tofauti yake ni nini?
Inasikitisha ila ndio maisha waliyoyachaguaWanakwambia, SUNGURA HAPINGWI,
Ukiangakia afya zao zinatisha, kijana wa miaka 20, utadhani mzee wa miaka 50
Nadhani hata bungeni wanaingia navyo.Ni viroba katika chupa za plastiki zenye kilevi cha 40 kikiwa kidogo unaweka hadi mfukoni hata mtoto anaweka, wanasema havina harufu kali so unaweza ukawa na mtu karibu anaongea upuuzi usijue kama kalewa.
Boda boda, machinga, wapiga debe na walevi wa kiwango cha umaskini ndio chao kwa bei ndogo vijana wanapotea maana kinaunguza maini na mfumo mzima wa afya ya akili na uzazi.
Serkali ipige marufuku hivi vidude vitauwa vijana.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili kubwa bro watu wanahisi jina na upatikanaji wake ndio tatizo.Ikiitwa Valuer, Grants, Black label, Green label, Gordons, Joh Walker, Cîroc, Captain Morgan, Jack Daniels, Fireball, Hennessey, Vodka, ..e.t.c. inakuwa siyo shida?
Au tatizo vifungashio?
Bubu zenu wamekunywa, gongo, nipa, lubisi n.k, hawakufa.
Acheni hizo mambo.
Kila mtu na anywe kwa upana wa mfuko wake.
Kwanza wana waunga mkono wenye viwanda vya ndani siyo kila siku kumchangia beberu na mrusi.
Kama kiwango cha alcohol hakijazidi kinacho ruhusiwa kwa matumizi ya vinywaji vikali hakuna shida. Ipo taasisi inayo pitia viwango na kuhakiki usalama wa watumiaji pombe.
Ni viroba katika chupa za plastiki zenye kilevi cha 40 kikiwa kidogo unaweka hadi mfukoni hata mtoto anaweka, wanasema havina harufu kali so unaweza ukawa na mtu karibu anaongea upuuzi usijue kama kalewa.
Boda boda, machinga, wapiga debe na walevi wa kiwango cha umaskini ndio chao kwa bei ndogo vijana wanapotea maana kinaunguza maini na mfumo mzima wa afya ya akili na uzazi.
Serkali ipige marufuku hivi vidude vitauwa vijana.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule waitara ile sura ya pombe mchanganyiko kabisa ile.Nadhani hata bungeni wanaingia navyo.
Maana MTU mzima aliye tahiriwa kimila hawezi kuanza kulia mchana kweupe mbele ya wanawake wa covid 19 na makamera bila kuguswa na MTU.