Pombe ya viroba sasa inaitwa "visungura", Serikali ichukue hatua haraka vijana wanapotea kwa kasi

huku mtaani watu wana maisha magumu sana hakuna anaewakumbuka kilichobaki ni kujipoza machungu na visungura.
 
Dah! ila pombe sijui ina nini yaani, unakunywa kwa rahaa weee!, unaanza kujutia asubuhi yaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…