Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww unataka nikaoshe vyombo mpaka ukija ndio naagizaKama umekaa front site chukua flying fish 5 za fasta nakuja na shemeji yako.😀
Nime mwambia muhudumu kuna mtu namgojea akija nitaagizaUna hatari Mkuu 😂😂😂
Nitoe bia mbili tu nipunguze mawazoHakuna cha bure, utazilipa kiaina.
Nipo na ngojea labda atatokea mtu😂😅
Umeona ee wakati mimi nimefunguka nimesema ukweli wangu kuna kosa hapo? 😂Wanakuja mapadre na mashemasi kuharibu uzi.
ngojea ngojea usikate tamaa conection zingine zinaanzia bar.Nipo na ngojea labda atatokea mtu
Duh si watanifukuza hapa soon naludi home tena natembea mpaka mwenge nipande daladalngojea ngojea usikate tamaa conection zingine zinaanzia bar.
waambie unasubiri wavimba macho wanakupa kiti unakaa.Duh si watanifukuza hapa soon naludi home tena natembea mpaka mwenge nipande daladal
uh ngoja niludi home bhna natia aibu hapa 😂waambie unasubiri wavimba macho wanakupa kiti unakaa.
Nipo hapa nyuma kama unatoka getiniKama uko kitambaa ya sinza sema uko wapi nikununulie
huo hapo👆mshangazi.Kama uko kitambaa ya sinza sema uko wapi nikununulie
D
uh ngoja niludi home bhna natia aibu hapa 😂