- Thread starter
- #41
Umesema la maana sana🙄angalia wasikuchanganyie na ugoro mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema la maana sana🙄angalia wasikuchanganyie na ugoro mkuu
tumia pesa yako usijizalilishe fikiria juu ya familia yakoSawa
Siku moja moja na ww unatumia za watu bhnatumia pesa yako usijizalilishe fikiria juu ya familia yako
dunia iko spidi dogoSiku moja moja na ww unatumia za watu bhna
Sio me huyo ?Na mimba atabeba
Ungejua umri wangu usinge niita ivyo mzeedunia iko spidi dogo
wahuni sio watu powa usiwamini kwa mvi zao masela nao wanazeeka...Umesema la maana sana
Af jau sanawahuni sio watu powa usiwamini kwa mvi zao masela nao wanazeeka...
Angekunywa zilizonunuliwa na wanaume wenzake 😀😀😀sasa sijui wangemjumuishaIla uwe tayari kukubali kuondoka na mtoa offer. Sio unywe tu halafu uondoke. Mtoa offer akitaka huduma umpatie.
😀😀😀😀😀huo hapo👆mshangazi.
Mnunulie akija ulipoAngekunywa zilizonunuliwa na wanaume wenzake 😀😀😀sasa sijui wangemjumuisha
Sasa ndo utufokee?Wanakuja mapadre na mashemasi kuharibu uzi.
Nshaondoka tayari pole kwakeMnunulie akija ulipo
Daah bia za bure zinakuja with a priceDuh leo nimekaa nimemis pombe za bure leo weekend watu mnakaje nyumbani tokeni ata njee tu mtembee labda utapata pombe za bure mimi nipo hapa kitambaa cheupe nasubilia 😂
Pombe za bure kwa mwanaume sio nzuriNshaondoka tayari pole kwake
Mtumishi muda wa kukemea pepo huu we upo huku. Au wakemea kwa keyboard ?Sasa ndo utufokee?
Walevi banah [emoji12]Sehemu gani niko meza ya jirani na jesca
😅😅😅😅angepambana na hali yake kuna jela kuna guestPombe za bure kwa mwanaume sio nzuri
AmechelewaMnunulie akija ulipo