Majina ya pombe zetu za asili:
Dengelua Hii inapatikana kule upareni
Mbege Hii ina[patikana kule Moshi uchagani
Ulanzi Kule Iringa
Ulaka Nasikia inapatikana Morogoro
Boha sina uhakiaka inapatikana wapi
Kindi Hii nayo naomba msaada sijui asili yake ni wapi
Wanzuki Hii ni new technology nasikia ina gesi kushinda hata Bia
Chimpumu Hii nayo nasikia inapatikana mikoa ya kusini
Tende Hii inapatikana wisiwa vya karafuuZanziberi
Gongo Hii ina majina mengi ajabu, Kachaso, la 50, common, zilipendwa,chi-dawa ,uso-paka, machozi ya Simba, Uzo, Changaa, na haijulikani asili yake ni wapi
Daddy - hii ni maarufu sana huko arusha
Nyingine mtajazia ..

Yoooote hayo kwa jina moja ni mataptap
Yoooote hayo kwa jina moja ni mataptap
ha ha ha na yanapatikana Tanzania. Kila nchi ina mambo yake ya asili.wazungu watembeapo vijijini upenda sana kuonja pombe za asili maana hizo ambazo watu wanazoziona bora ni za kawaida kwao.
dah. na huko nako wanatumia au unawatafuta maneno wakusomee albadili!!!!!
hee! Hivi mkubwa ni kweli USED PEDI hu2mika pia katika kutengeneza pombe?msabe inatengenezwa na ndondoz. Kiboko ya yote ni pyua inayotengenezwa pale Matejoo, molases zikishawekwa basi vingine hutupiwa humo, km used pedi za kike, mbolea, jiki, klorokwini, kitu cha mvuke kikikamilika hupigi nusu glass!