Pombe zetu za asili zilikuwa bab-kubwa kinyama!!!

Pombe zetu za asili zilikuwa bab-kubwa kinyama!!!

kuna kitu kinaitwa pingu,hicho ni balaaa,unapokunywa hautakiwi kucheka,ukienda kinyume na hilo unajinyea.Gongo kwa Pemba inaitwa mazishi saa sita.
 
Jaman gongo ukitaka kuinywa sharti uvae suruali ya kubana kwasababu ukianza kuinywa haja kubwa lazima igonge hodi.Bora umalizie kwenye suruali tu
 
Hii kitu ya ulanzi ina levels,level 1 -mtogwa,levell-2 ulanzi,level-3 mkangafu,level 4-mdindifu......
 
Hii kitu ya ulanzi ina levels,level 1 -mtogwa,levell-2 ulanzi,level-3 mkangafu,level 4-mdindifu......

Haswa, waambie hao na ukifika levo ya mwisho huo ni conc.ulanzi.
 
Pingu ya mikoa ya kusini. Ukiinywa lazima unye. Kadri unavyokunywa ndivyo unavyokunya. Mama muuza lazima akufunge kamba miguuni kabla ya kunywa ili uende na mavi yako nyumbani kwako baada ya kunywa na kunya.
 
Mmmmmh! zote hizo mi sizijui, nimekulia kwenye viroba na ndivyo ninatumia.
 
Back
Top Bottom