Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Iko wazi..script za kubumba zilikua nyingi sana..ila mafala waliamini jamaa anapendwa.Marehemu yeye alitanguliza watu (wenyeji)wakamtengenezea mazingira.
Lile jani kupewa ilikuwa michongo ishatangulizwa .
Yaa ni kweliIko wazi..script za kubumba zilikua nyingi sana..ila mafala waliamini jamaa anapendwa.
Utaendekea kuabudu mizimu kwa maana nawe ni mzimu.Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Mtapata tabu sanaaa!Mwamba wa Afrika na shujaa wa Karne... hakuna na hapatakuwa na Rais kama JPM. Apumzike kwa amani
Umenikumbusha jinsi jamaa alivyo kuwa anajifanya kununua mahindi ya kuchoma kutoka kwa muuza mahindi mwenye binduki mfukoniMarehemu yeye alitanguliza watu (wenyeji)wakamtengenezea mazingira.
Lile jani kupewa ilikuwa michongo ishatangulizwa .
Labda shujaa wa BusegaMwamba wa Afrika na shujaa wa Karne... hakuna na hapatakuwa na Rais kama JPM. Apumzike kwa amani
Aliwapata wasiyo jitambuaIko wazi..script za kubumba zilikua nyingi sana..ila mafala waliamini jamaa anapendwa.
Tupe vigezo vinavyo kufanya uamini kuwa alikuwa anaheshimika!Magufuli alikuwa anaogopwa sana na hao wachagga ndio walikuwa wanamuogopa kupita maelezo. Tuache apumzike lakini nchi hii kupata mtu anayeogopwa na kuheshimika kama yule itachukua karne
Kwa mazezeta kama weweMagufuli alikuwa anaogopwa sana na hao wachagga ndio walikuwa wanamuogopa kupita maelezo. Tuache apumzike lakini nchi hii kupata mtu anayeogopwa na kuheshimika kama yule itachukua karne
Chunguza hapo kwa shemeji yako unapokaa uone kama wote hawamkubali mwambaIko wazi..script za kubumba zilikua nyingi sana..ila mafala waliamini jamaa anapendwa.