Pompeo to make 1st trip to Africa in a bid to reassert US as a leading partner The secretary of state will visit Senegal, Angola and Ethiopia

Pompeo to make 1st trip to Africa in a bid to reassert US as a leading partner The secretary of state will visit Senegal, Angola and Ethiopia

Bila shaka Baba wa Taifa huko aliko anaposikia mambo kama haya, anajuta. Wakati wake, hakuna Kiongozi wa dunia ya kwanza angeweza kutembelea hizo nchi asiikanyage Tanzania.

Halafu tuna watu wanajaribu kulinganisha kichuguu na mlima. Pamoja na Mwalimu kupingana nao kwa hoja mbali mbali, walikuwa wanapigana vikumbo kuitembelea Tanzania kisiwa cha amani Afrika.

Siku hizi wanaikwepa Tanzania kama wanavyokwepa coronavirus. Kisiwa cha amani kimegeuka na kuwa uwanja wa fujo wa kutekana, kutesana na kutoana uhai. Hakika Baba wa Taifa anatoa machozi huko aliko!
 
After nearly 22 months in office, the US Secretary of State Mike Pompeo will make his first trip to sub-Saharan Africa on Saturday, in a bid to reassert the U.S. as the leading partner to the world's youngest and likely to be most populous continent amid strong Chinese influence and a growing Russian presence.

The top U.S. diplomat will visit Senegal, Angola and Ethiopia, describing them as "three countries in various stages of development in their transition to democracy and their stability."

His major themes will include promoting trade with the U.S., good governance and the rule of law, while also urging African officials and business leaders to eschew Chinese investment.

Pompeo told reporters traveling with him on Thursday that he wants to talk to leaders in all three countries and at the African Union about encouraging economic reforms to increase market access, combat corruption and promote the rule of law -- all of which would bring more American investment, he said.

To that end, Trump may host African leaders for a U.S.-Africa investment summit in Washington, co-hosted by South Africa, according to Lana Marks, the U.S. ambassador in Pretoria and a close Trump friend.

For more read here...

Kwa Tanzania ilivyokuwa 2010 -2015, Pompeo lazima angetembelea Tanzania katika trip yake ya Kwanza Afrika. Lakini kwa sifa tuliyojijengea miaka mitano iliyopita, Tanzania haimo tena miongoni mwa nchi zinazoheshimika Afrika. Tumewekwa kundi moja na rogue nations. Najua kama Kenyatta asingekuwa Washington juzi tu, Pompeo angepita Kenya pia.

Tangu Rais Bill Clinton, George Bush, na Barack Obama, Tanzania ilitembelewa na Marais wote wa Marekani (bila kujali wanatoka R or D) kama progressive African nation.

Baada ya nchi kushikwa na '.........' tumerudishwa nyuma hatua kumi na kupoteza heshima kimataifa tulipokuwa tumefikia. Yaani sasa hata Secretary of State hawezi kukanyaga kwenye nchi yenye 'amani, utulivu na demokrasia?'

Yanayokuja yanatafakarisha.
 
Kumzuia Mmarekani kuja Tanzania ni sawa mtu akazuie wewe Pascal kwenda Kolomije. Sijui utakosa nini kwa kutokwenda!!

Mayalla, unanikumbusha hadithi ya 'sizitaki mbichi hizi'. Hivi Pompeo angekuja kumsifia Magu hapa ungeandika hivi?

FACT is Americans don't buy into the same stupid games we seem to tolerate here. And Magu will soon learn the lessons of good governance, albeit by force.
 
Our democracy is American, our dressing is American, our system of government is American, the movies we watch are American, our banking is American influenced, our dressing is American. Everything we do is on an American perspective. Amka kutoka kwenye huo usingizi ndugu yangu! Acha kudanganywa na wanasiasa!

Ukweli mchungu, yaani watakubishia kwa hili ila ndio ukweli hapa Afrika hatuna jeuri ya kumsema Mmarekani.
 
Trump may host African leaders for a U.S.-Africa investment summit in Washington.

Je, inawezekana hata hii U.S.-Africa investment summit tusialikwe na hata tukialikwa tusihudhurie? Je msimamo wetu ni upi kuhusu hili?
 
Trump may host African leaders for a U.S.-Africa investment summit in Washington.

Je, inawezekana hata hii U.S.-Africa investment summit tusialikwe na hata tukialikwa tusihudhurie? Je msimamo wetu ni upi kuhusu hili?

Shida hua inakuja pale tunapokwenda huko then inakuja session ya Rais wa nchi husika kuhojiwa na waandishi wa habari,hapo hua ni majaribu bora tupotezee tu.

Ulishawahi kupata picha mkuu mwenyewe Vs The hard talk(BBC) au Mkuu vs amanpour(CNN)?
 
Tanzania naona kama vile inasahaulika kidogo kidogo kwenye ramani ya dunia kwa nchi zinazopiga hatua kidemokrasia na utawala wa sheria.. Mara ya kwanza Commerce Secretary Wilbur Ross alizitembelea Ethiopia, Kenya, Cote d'Ivoire na Ghana mwezi wa July 2018. Mara ya pili Secretary of State wa US, Rex Tillerson alizitembelea nchi za Kenya, Ethiopia, Chad, Djibouti na Nigeria.
Baada ya huyu bwana kuizika Tanzania kidiplomasia, atakayefuata atakuwa na kazi kubwa sana kuisuka upya. Vinginevyo nchi ndivyo itakavyokuwa imejiunga kwenye vi-nchi visivyokuwa na 'influence' yoyote duniani.

Hata humu jirani tu, Afrika ya Mashariki, hatuna sauti tena. Ni nini tofauti yetu na Burundi kwa mfano, kimataifa.

Hivi kuna anayejua ni nini kilitokea kuhusu ile safari ya China iliyowahi kutangazwa kuwa inaandaliwa?

Isije ikawa wenyeji wetu waliamua kuiahirisha kwa sababu...mbalimbali, zikiwemo za kimaslahi yao waliyonyang'anywa, tena kwa makelele mengi tu!
 
Tanzania naona kama vile inasahaulika kidogo kidogo kwenye ramani ya dunia kwa nchi zinazopiga hatua kidemokrasia na utawala wa sheria.. Mara ya kwanza Commerce Secretary Wilbur Ross alizitembelea Ethiopia, Kenya, Cote d'Ivoire na Ghana mwezi wa July 2018. Mara ya pili Secretary of State wa US, Rex Tillerson alizitembelea nchi za Kenya, Ethiopia, Chad, Djibouti na Nigeria.
Mwanzoni kabisa mwa utawala wa Magufuli, zile marufuku alizo tangaza. Jenerali ulimwengu aliweza kuziscan na kufanya hitimisho sahihi kabisa kwamba kwenye demokrasia "tumerudi nyuma miaka 100". Pro Magufuli walimshambulia kweli.....angalia sasa hivi kila kitu kipo wazi kabisa urudiji nyuma kidemokrasia upo wazi mno na kila mwenye akili huru anaona.
 
We twice hosted US president during JK's time. What has been their impact back then and probably now when we face a new challenge?
 
Hujaeleweka, umeandika Kama bata anaehakisha!! Eti china imejenge reli kutoka Pakistan hahahahaaaaah!
Hakuna cha ku-promote demokrasia au uongozi bora bali ni kupigania maslahi ya Marekani.

Marekani anajaribu kupambana na China ambayo kwa sasa imejenga Addis-Djibouti railway ili kusafirisha bidhaa mpaka bandari ya Djibouti ambapo iko karibu na Pakistani ambapo pia China inajenga reli kutoka bandari ya Pakistani mpaka China.

Senegal anaenda kwa sababu ya kambi za kijeshi za Marekani "zinayopambana na Islamic terrorist" katika nchi za Magharibi mwa Afrika.

Angola anaenda kwa sababu ya malighafi kama mafuta na almasi ambazo makampuni ya Marekani kama ExxonMobil yanapambana kuhakikisha nchi ya Ureno haifufaiki nazo.

Rais wao, Abraham Lincoln aliwahi kusema, "You can fool all the people some of the time and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time".

View attachment 1357877

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo umezipima za kwako na Trump ukaona zako nzito? Pole sana!
Mwabie asinuse pua yake hata kidogo kwa jiji letu la dsm..

Note; kutembelewa na watu wenye Akili Kama kina pompeo Ni hatari Sana kwa Taifa lako. Bora utembelewe na watu wenye akili nyepesi Kama Trump. Pompeo kafie mbali aisee usiguse tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom