Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

Status
Not open for further replies.

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,518
Reaction score
378
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru

..mlitegemea mahakama itoe hukumu ya aina gani? sishangai

 
baada ya kutoka mahakamani shaikh ponda ataongea ataongea msikiti wa mtambani, kwa wale watakaokuwa hapo, tafadhali tujue ataongea nini.
 
Wamemhurumia sana huyo, wangempiga hata miaka miwili jela. Kazidi kutuvurugia amani. Kifungo cha nje ni sawa na kutokumfunga tu.
 
kifungo cha nje ndio nini?

maana yake Ameir wa Waislam yupo nje huru kabisa tena bila ya Pingu ila atakuwa anaenda kusabahi Mahakamani mara moja moja ndani ya Mwaka mmoja! Tugange yajayo, ila mwendo wa kudai kiwanja dhidi ya Mabakwata upo palepale Mabakwata wakabidhi mali za Waislam kwa Waislam waendelee na kazi zao za u Agency!
 
Allah alisha sema haki na batwili haviwezi kaa pamoja. Kafungwa japo mwaka mmoja ili BAKWATA na BARAZA LA MITIHANI NECTA wapate japo amani ya muda mfupi
Huo ni mwanzo tu.nashauri Serikali ikate rufaa against the judgement ili japo huyu rafiki ponda apate haki yake
 
Kuanzia sasa mpaka hapo baadae tutegemee mambo zaidi ya haya mliyoyashuhudia... Nostradamus
 
Asante.sitashangaa akiwahimiza tena waislam waandamane kupinga hata hiyo adhabu aliyopewa.
 

ahsante kwa ufafanuzi, mali zipi tena zaidi ya bakwata? waislamu wako na mali zaidi ya bakwata?
 
Kazi bado mbichi sana...nawaonea huruma sana serikali,mahakama na polisi pia UWT maana mjomba hakutaka kabisa jamaa aguswe!
 
LEO MAKAHAKA KUU YA KISUTU IMEMUACHIA SHEKH ISSA PONDA

KWA MADAI YAKE YA MSINGI KUHUSIANA NA KIWANJA CHA WAISLAMU CHANG'OMBE KUUZWA NA TAASISI YA BAKWATA(CCM B),ALIFUNGULIWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI, WIZI, KUVAMIA ENEO LA WATU, NA KUTOKANA NA MASHTAKA HAYO ALINYIMWA DHAMANA KWA KIPINDI CHOTE HIKI, LEO KAACHIWA, SUALI LANGU KWA WANASHERIA HUMU,
JE, KUACHIWA KWAKE KUNAMAANISHA MADAI YAKE KWA KIWANJA CHA CHANG'OMBE NI SAHIHI?
KM NI HIVYO,JE WAISLAMU WANAWEZA KUFUNGUA MASHTAKA YA KUDAI KIWANJA CHAO KUTOKA KWA BAKWATA(taasisi ambayo CCM na serikaliyake wanaitumia kisiasa zaidi kuliko dinni,na kufanywa wanaharakati waonekane wakorofi kwa kuipinga bawkata).
JE. PONDA NAEZA KUIFUNGILIA MASHTAKA SERIKALI KWA KUMUWEKA NDANI PASINA KOSA?

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…