i pad3
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,518
- 378
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru
..mlitegemea mahakama itoe hukumu ya aina gani? sishangai
..mlitegemea mahakama itoe hukumu ya aina gani? sishangai
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 0"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Shekhe Issa Ponda akisindikizwa na askari magereza kuingia mahakama ya Kisutu Dar es Salaam May 9 kabla kupewa hukumu ya mwaka mmoja nje.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 0, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Shekhe Issa Ponda akiongea na mmoja wa mawakili wake, Ubaidi Hamidu akiwa na watuhumiwa wenzake wakisubiri hukumu katika Mahakama ya kisutu Dar es Salaam May 9 2013.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 0, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Shekhe Issa Ponda akiwa na baadhi watuhumiwa wenzake wakisubiri hukumu katika Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam May 9 2013
Read more and photos RobertOkanda blog😛anda:[/TD]
[/TR]
[/TABLE]