Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

Status
Not open for further replies.
Matusi na kashfa zenu huwa ndio chachu ya Ujasiri wake! Allah Muongezee Barka na Moyo wa Uvumilivu Al mujaahid Sheikh Ponda, Siku nyingine jifunzeni Kosa la kuvamia kiwanja ni Kesi ya Madai asimame mwenye kiwanja badala ya Serikali kusimama dhidi ya 'mvamizi' as if yenyewe ndo Plaintif.
 
Ponda sikutegemea akutwe na makosa yuko kimkakati zaidi
 
Kazi bado mbichi sana...nawaonea huruma sana serikali,mahakama na polisi pia UWT maana mjomba hakutaka kabisa jamaa aguswe!

Uamuzi wa Jana dhidi ya Lwakatare haki imetendeka ila Leo 'mjomba' kaingilia, hahahaaa Husda inadumaza Akili sana,
 
Vipi Rais Jakaya Kikwete ameipokeaje hukumu hiyo?
 
hapakuwa na kesi pale fitna tu, jipange shekhe ufungue kesi ya ardhi dhidi ya BAKWATA. sapoti kubwa tu utaipata kutoka kwa waislam.
 
Huo ni mwanzo tu.nashauri Serikali ikate rufaa against the judgement ili japo huyu rafiki ponda apate haki yake
Hapo atawaambia wafuasi wake allah yuko nao na kupiga 'takbir' kubwa. Serikali ikate rufaa huyu ni mmoja ya watu hatari kwa mstakabali wa taifa. Anafanya biashara ya dini sawa na makanisa ya watu binafsi yaliyozuka kama uyoga tangu ccm ije na sera yake ya biashara huria. ingefaa awe out of circulation for a very long time. 'chezea shilingi chooni' ndio kazi ya serikali hii.
 
Sera mpya ya Standardization na fufunika kombe mwanangu apite imepitishwa wiki hii usijal
sa walimnyima dhamana ya nini wakati kosa alilotuhumiwa nalo adhabu yake ni mwaka 1 tena nje.
 

kwa hiyo afunguliwe kesi ya Kupiga Takbir kubwa na kuwahakikishia waislam Allah yu Pamoja nao? Halafu ukome kumfananisha Ponda na wafukua Misukule ya kichina, hana baishara ya kuchimbua mapepo wala hachangishi pesa huyo jamaa,CCM,CUF na CHADEMA wote wamejaribu kumtumia wamechemka Allah ndonguzo yake na Kwake ndo matarajio.Please tena Please usimfananishe kabisa huyo Jamaa na wafukua misukule na wale wanaokusanya fungu la kumi kujengea mahekalu yao Mbezi beach na fukwe zingine!
 
AlhamduliLLAH Kwa hakika Mwenye ez Mungu ni mkubwa, siku zote baatwil hujitenga na kweli huonekana, tunaomba uhuru wa mahkama uheshimiwe kama jana tulivofurahi kufutiwa mashtaka ya ugaidi ndugu Rwakatare basi tukashangilia na kumshukuru Mwenye ez Mungu na hili pia tusilibeze ... leo ni siku yangu ya furaha... tena nasema ALHAMDULILLAH
 
Ponda amesimama kwenye haki,hata mahakama inalitambua hilo,
 
Muda si mrefu Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu imemhukumu shehe Ponda kifungo cha Miezi kumi na miwili na wenzake wameachiwa huru.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…