Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi bado mbichi sana...nawaonea huruma sana serikali,mahakama na polisi pia UWT maana mjomba hakutaka kabisa jamaa aguswe!
Hapo atawaambia wafuasi wake allah yuko nao na kupiga 'takbir' kubwa. Serikali ikate rufaa huyu ni mmoja ya watu hatari kwa mstakabali wa taifa. Anafanya biashara ya dini sawa na makanisa ya watu binafsi yaliyozuka kama uyoga tangu ccm ije na sera yake ya biashara huria. ingefaa awe out of circulation for a very long time. 'chezea shilingi chooni' ndio kazi ya serikali hii.Huo ni mwanzo tu.nashauri Serikali ikate rufaa against the judgement ili japo huyu rafiki ponda apate haki yake
hapakuwa na kesi pale fitna tu, jipange shekhe ufungue kesi ya ardhi dhidi ya BAKWATA. sapoti kubwa tu utaipata kutoka kwa waislam.
sa walimnyima dhamana ya nini wakati kosa alilotuhumiwa nalo adhabu yake ni mwaka 1 tena nje.
Uhuru wa mahakama uheshimiwe...
Hapo atawaambia wafuasi wake allah yuko nao na kupiga 'takbir' kubwa. Serikali ikate rufaa huyu ni mmoja ya watu hatari kwa mstakabali wa taifa. Anafanya biashara ya dini sawa na makanisa ya watu binafsi yaliyozuka kama uyoga tangu ccm ije na sera yake ya biashara huria. ingefaa awe out of circulation for a very long time. 'chezea shilingi chooni' ndio kazi ya serikali hii.