Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

Status
Not open for further replies.
Nchi hii imejaa usanii kibao. Kwa hiyo wameona hapo wa-balance ukristo na uislamu. Lwakatare aachiwe na kisha baada ya siku mbili Ponda naye aachiwe.
 

Sorry if you don't mind
unaweza share ni kina nani ambao wa wata udhika na ukweli huu?
 
ni wazi kabisa ofisi ya Dpp amekuwa uwanja wa siasa na maslai binafsi
 

Dhamani si haki bali ni tuzo, bail not a right but a privilege....hivyo basi, mahakama ktokana na vielelezo vya mwendesha mashitaka vinaweza kumnyima mtu dhamana, kama 1. mtuhumiwa anaweza haribu ushahidi 2. vuruga amani 3.vuruga mwenendo wa kesi akiwa huru na mengine mengi, hivyo basi , dhana ya lema kupewa dhamana ni tofauti na ponda, naona hapa kidogo mkuu umeghafilika, maana hii sio fani yako, ingawa unaweza kuwa na the basics kuhusu haki zako za msingi, lakinihapa acha mahakama na wataalam wa sheria wafanye mambo yao, laymen hawawezi kutoa comments zikapewa nafasi kama hii yako..
 
Hivi hakuna uwezekano wa mtu kudai fidia kwa matukio kama haya ya kina ponda na wenzie!? Pengine kuna haja ya kuweka haki hiyo (kikatiba) ili serikali na vyombo vyake viwe makini zaidi linapokuja suala la kumnyima mtu uhuru anaostahili. Mkuu EMT unaweza kusaidia kufafanua jambo hili?
 
Last edited by a moderator:
Nilichogundua na kujifunza, nchi hii maamuzi yote ya ki mahakama yanakuwa yameshaamuriwa ikulu, pale mahakamani ni kukamilisha procedure....

Alafu kuna hawa mbwa koko a.k.a polisi-ccm, hawa ndio utafikili ma robot, wanafanya kazi zao utadhani hawana akili, chochote wanachoamuriwa wao ni mbio kutekeleza, wala hawana muda wa kuuliza au kujiuliza...
 

umenena kweli Ben!
 

mkuu leo sikuelewi kabisa
 
umesahau kesi ya Lwakatare ni usanii katika siasa na Ponda ni usanii katika mambo ya dini, havioani!!

Nchi hii imejaa usanii
kibao. Kwa hiyo wameona hapo wa-balance ukristo na uislamu. Lwakatare
aachiwe na kisha baada ya siku mbili Ponda naye aachiwe.
 

Id izi bana! nilianza kuwaza sumu mawazo hayo ameyatoa wapi? kumbe ni smu au umetokezea kiana
 
Last edited by a moderator:

Haki ni haki tu hata ikiwa ni ya adui yako. Ukinyamaza anapoonewa elewa kuwa siku nyingine utafanyiwa wewe anayofanyiwa yeye leo.
 
SIJALI DINI YAKO AU UPAGANI WENU, BILA YESU HAKUNA MBINGU, ALIYE MKATAA MWANA AMEMKATAA BABA, Kumbuka atarudi kuwahukumu wazima na wafu including mohammadians. Someni injili ndugu. ANARUDI. Jesus the king of kings.

nakuunga mkono mkuu
 
SIJALI DINI YAKO AU UPAGANI WENU, BILA YESU HAKUNA MBINGU, ALIYE MKATAA MWANA AMEMKATAA BABA, Kumbuka atarudi kuwahukumu wazima na wafu including mohammadians. Someni injili ndugu. ANARUDI. Jesus the king of kings.


Kazi kweli kweli hebu nipe tarehe ya kuzaliwa yesu kwa mujibu wa bibilia huna haja ya kutokwa povu ukirudi, jifunze kuwa mstaarabu wanaochangia na kusoma ni wengi na wenye kuheshimika sana tuu najua unatumia uhuru wako lakini jaribu kujiwekea barriers.
 
nakuunga mkono mkuu


Unaunga mkono nini hapo tusome injili,jesus ndo mfalme wa wafalme ama anarudi kuja kuwahukumu wazima na wafu pamoja na wafuasi wa Muhammad (swallalahu alayhi wasalam)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…