Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataalam wa saikolojia wanaweza kufahamu uwezo wa mtu kwa kupitia maandishi yake!
Naunga mkono kauli ya Ponda bila kuhofia kwamba naweza kuudhi watu fulani.
-Nilishasema haikuwepo mantiki ya kumpa Lema dhamana kesi ya uchochezi na kumnyima Sheikh Ponda kwa kesi hiyo hiyo.Ni uonevu tu.Huu ndiyo msimamo wangu
NB:Mods acheni hii thread ijitegemee
Sorry if you don't mind
unaweza share ni kina nani ambao wa wata udhika na ukweli huu?
Naunga mkono kauli ya Ponda bila kuhofia kwamba naweza kuudhi watu fulani.
-Nilishasema haikuwepo mantiki ya kumpa Lema dhamana kesi ya uchochezi na kumnyima Sheikh Ponda kwa kesi hiyo hiyo.Ni uonevu tu.Huu ndiyo msimamo wangu
NB:Mods acheni hii thread ijitegemee
Naunga mkono kauli ya Ponda bila kuhofia kwamba naweza kuudhi watu fulani.
-Nilishasema haikuwepo mantiki ya kumpa Lema dhamana kesi ya uchochezi na kumnyima Sheikh Ponda kwa kesi hiyo hiyo.Ni uonevu tu.Huu ndiyo msimamo wangu
NB:Mods acheni hii thread ijitegemee
Naunga mkono kauli ya Ponda bila kuhofia kwamba naweza kuudhi watu fulani.
-Nilishasema haikuwepo mantiki ya kumpa Lema dhamana kesi ya uchochezi na kumnyima Sheikh Ponda kwa kesi hiyo hiyo.Ni uonevu tu.Huu ndiyo msimamo wangu
NB:Mods acheni hii thread ijitegemee
Nchi hii imejaa usanii
kibao. Kwa hiyo wameona hapo wa-balance ukristo na uislamu. Lwakatare
aachiwe na kisha baada ya siku mbili Ponda naye aachiwe.
Hivi hakuna uwezekano wa mtu kudai fidia kwa matukio kama haya ya kina ponda na wenzie!? Pengine kuna haja ya kuweka haki hiyo (kikatiba) ili serikali na vyombo vyake viwe makini zaidi linapokuja suala la kumnyima mtu uhuru anaostahili. Mkuu EMT unaweza kusaidia kufafanua jambo hili?
Naunga mkono kauli ya Ponda bila kuhofia kwamba naweza kuudhi watu fulani.
-Nilishasema haikuwepo mantiki ya kumpa Lema dhamana kesi ya uchochezi na kumnyima Sheikh Ponda kwa kesi hiyo hiyo.Ni uonevu tu.Huu ndiyo msimamo wangu
NB:Mods acheni hii thread ijitegemee
unaota?????mbona haya uandikayo hayaendan na mjadala?
Yesu na ponda vinahusiana hapa?
SIJALI DINI YAKO AU UPAGANI WENU, BILA YESU HAKUNA MBINGU, ALIYE MKATAA MWANA AMEMKATAA BABA, Kumbuka atarudi kuwahukumu wazima na wafu including mohammadians. Someni injili ndugu. ANARUDI. Jesus the king of kings.
Kapagawa huyo!
Kazi bado mbichi sana...nawaonea huruma sana serikali,mahakama na polisi pia UWT maana mjomba hakutaka kabisa jamaa aguswe![/QU
SIJALI DINI YAKO AU UPAGANI WENU, BILA YESU HAKUNA MBINGU, ALIYE MKATAA MWANA AMEMKATAA BABA, Kumbuka atarudi kuwahukumu wazima na wafu including mohammadians. Someni injili ndugu. ANARUDI. Jesus the king of kings.
Sumu ndiye yupi tena mkuu Mutakyamirwa ? Kwa nini inakushangaza yeye kuwa na mawazo kama yangu?Id izi bana! nilianza kuwaza sumu mawazo hayo ameyatoa wapi? kumbe ni smu au umetokezea kiana
nakuunga mkono mkuu