Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Mkuu mimi sipingani na Ponda hata kidogo ktk kutetea haki za watu mfano wafungwa wa gerezani, Lakin tatizo ni pale anapopandikiza chuki kwa watu kama vile hii nchi wakristo wote ni wajinga.
Huyu ni mpumbavu sana lakini nashangaa viongozi wetu kumchekelea huyu mtu hatari kwa usalama wa taifa.
Chekelea tu huyo mchochezi gaidi lakini ipo siku utajuta kwani vita havina macho.
ponda hajawah kushtakiwa kwa ugaidi labda ww uwe umemshtaki,,,,hapo ni sawan akumwita pengo shoga wakat sio kweli
ndo matatizo ya kumwacha mbwa mwenye kichaa akizurura mitaani.
Nahisi mpaka askari wa wanyamapori wamtie risasi ili asije dhuru binadamu.
ponda ni janga, pointless arguments and very childish...kumsikiliza huyu ni kupoteza muda wa kuishi
Mwenye elimu ya huyu Sheikh Pond aiweke hapa maana naona hoja zake kama vile zinatolewa na mtu aisye na elimu, kimsingi sababu kama NECTA inawafelisha watoto wa Kiislamu ni kama hoja isiyo na mashiko kwani wakati wa kusahihisha kunakuwa pameandikwa jina la mwanafunzi kwenye mtihani au ni namba yake ya mtihani?sasa msahihishaji atajuaje huyu ni Ramadhani na si Fredrick? na Je jina pekee linatosha kumfanya mtu akaonekana dini yake ni ipi?nina wasiwasi sana na huyu jamaa inawezekana ikafikia point akaanza kusema waislamu hawafanikiwi kimaisha kwa sababu serikali inawapendelea wakristo Mbona hasemi
-Raisi wa Tanzania ni Muislamu, Mkuuwa Polisi IGP ni Muislamu, Makamu wa Raisi Tanzania ni Muislamu, Raisi wa Zanzibar na makamu wake wote ni waislamu mbona hayo hayaongelei?Ikitokea Raisi wa Tanzania akawa mkristu anaweza pata shid asana kudeal na huyu mtu
anapoongelea suala la msikiti wa mbeya,amesahau kuchomwa kwa makanisa kule zanzibar nani kahukumiwa hadi leo zaidi ya kusubiri upepo upite tu?go go go ponda,,,,,,
taqbiiiiiiiiiir,taqbiiiiiiiiir,taqbiiiiiiiir,
ponda umenena na ulilonena lina ukweli,kama kuna mtu ana ushahid wa yule mtoto kuwa kesi yake iko mahakaman auweke hapa,,,,msiishie kumshutumu ponda bila sababu za msingi,
Usiwe mbulula wa Mawazo na mtindio wa ubongo kwa sheria za kiislamu si ruhusa kushika quran ukiwa huna udhu (ujatawaza) mwenye kosa ni Nani kati alieleta quran na kumkabidhi mtu ambae hana udhu? Na hali halisi alijua huyu si muislamu akampa kukifanyia mzaha? Au alieletewa baada ya mabishano.kwa mtindio wako huyu aliekojolea kwa Kuwa ni mkristo tu basi ana makosa. Kwa hili hakuna haki kwa uislamu hasa kwa shekh Mkubwa na mchonganishi kama ponda na wewe mbululaGo go go PONDA,,,,,,
TAQBIIIIIIIIIIR,TAQBIIIIIIIIIR,TAQBIIIIIIIIR,
PONDA UMENENA NA ULILONENA LINA UKWELI,KAMA KUNA MTU ANA USHAHID WA YULE MTOTO KUWA KESI YAKE IKO MAHAKAMAN AUWEKE HAPA,,,,MSIISHIE KUMSHUTUMU PONDA BILA SABABU ZA MSINGI,
Pia usisahau kuwa mkapa ndiye aliyegawa majengo ya TANESCO ili kubalance mambo ya kielimu hapa nchini.
sasa mdau ni chuki zipi ponda alizopandikiza???ukweli anaousema???au nini???mtu akisema ukweli mnamwita mpandikiza chuki,hayo yamezoeleka mdau,,,,ila ukweli mchungu
Sasa wenzako ndio wanataka watu wa dizaini hii wawe ndio masheikh... Kweli Ponda ni janga na hana hadhi ya kuitwa sheikh.
Pia usisahau kuwa mkapa ndiye aliyegawa majengo ya TANESCO ili kubalance mambo ya kielimu hapa nchini.