Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Mkuu mimi sipingani na Ponda hata kidogo ktk kutetea haki za watu mfano wafungwa wa gerezani, Lakin tatizo ni pale anapopandikiza chuki kwa watu kama vile hii nchi wakristo wote ni wajinga.
Huyu ni mpumbavu sana lakini nashangaa viongozi wetu kumchekelea huyu mtu hatari kwa usalama wa taifa.
sasa mdau ni CHUKI ZIPI PONDA ALIZOPANDIKIZA???UKWELI ANAOUSEMA???AU NINI???MTU AKISEMA UKWELI MNAMWITA MPANDIKIZA CHUKI,HAYO YAMEZOELEKA MDAU,,,,ILA UKWELI MCHUNGU