Ponda alipuka-maisha ya gerezani

Ponda alipuka-maisha ya gerezani

I see!!!!
Labda me nitoe ushuhuda kidogo kwa sababu nilikuwepo siku aliyokamatwa shekh ponda na nililishuhudia tukio la kukamatwa kwake mwanzo mpaka mwisho..

Kwa kweli sikumbuki siku wala tarehe ila ilikuwa ni pale temeke katika msikiti wa tungi, kwa wanaoufahamu msikiti huu kwa huku temeke unaitwa msikiti wa harakati, kwa maana harakati nyingi za kiislam hususani za jumuiya na taasisi kwa huku temeke huwa zinaanzia hapa.
Pale msikitini pia kuna kambi ya wanafunzi wakidato cha nne na cha sita ambao wanajiandaa na mitihani so, na mimi nilikuwa ni mmoja wa wanafunzi ambao walijiunga katika kambi msikiti huo ili kujiandaa na mtihani wa kidato cha nmne mwaka jana, 2012.

Ilikuwa kama mida ya saa sita hivi kuelekea saa saba, kumbuka tayari tulikuwa katika kipindi cha mitihani ya mwisho ya kitaifa hivyo katika muda huu tulikuwa tunajisomea na kuna baadhi ambao walikuwa wameala, kambini kwetu kulikuwa na wanafunzi takribani 84. Katika muda huo kuna watu wawili ambao waliingia mule ndani msikitini kwa kasi ya ajabu, huku mmoja akipiga makelele "vijana amkeni tujitetee" "vijana amkeni tujitetee", kiukweli kwa kasi ambayo waliigia nayo na hayo makele hakuna mtu ambaye aliendelea kusoma wala kulala.

kumbe wale wawili mmoja alikuwa ni shekh ponda ambaye sura yake tulianza kuionaa akijuika nasi pale msikitini katika mida ile mibovu kama siku tatu nyuma hivi, huyu mmoja mwengine alikuwa ni dereva wa pikipiki ambaye ndo alikuwa anamuendesha shekh kutoka huko walikotoka(eneo la markaz, chang'ombe) na sasa walikuwa wanafukuzwa na polisi, baada ya wao kuingia ndani huko nje tukawa tunasikia sauti za amri "fungua geti haraka"(polisi wakimuamrisha mlinzi wa geti la msikiti ambaye alifunga geti baada ya shekh kupita na pkipiki yao)

Sasa mule ndani kukawa battle field kati ya polisi na tuliokuwepo ndani, polisi hawakuwa wanajua kama mle msikitini kuna kambi ya wanafunzi hivyo kipindi shekh anatuamsha tujitetee polisi walidhani sisi ni walinzi wa shekh.
Alisikika polisi mmoja akisema "wakileta vurugu piga risasi" mwengine "lala chini" kwa hiyo kukawa pata shika nguo kuchanika. kitu kingine kilichotuweka kwenye wakati mgumu ni kwamba polisi hawakuwa wanamtambua shekh ponda kwa sura na ukizingatia ilikuwa usiku basi hali ikawa mbaya zaidi.

Polisi walikuwa wameandamana na bwana mmoja mwenye asili ya kiarabu ambae ndo inasemekana yeye alimtambua shekh ponda na ndiye aliyekuwa akifuatilia nyendo zake tangu harakati za kule markaz zilipoanza.
Tukiwa wanafunzi wote chini ya ulinzi wa polisi na yule bwana akifanya kutupekuwa kwa sura mpaka pale walipompata mtuhumiwa wao, jamaa walimchukua katika mazingira magumu sana. Yule bwana(shekh ponda) amebobea katika michezo ya karate hivyo haikuwa rahisi sana kumkamata kama kuku wa kizungu. kwa macho yangu nilishuhudia polisi kama watatu kama si wanne wakienda chini kwa mapigo yenye ufundi wa hali ya juu, lakini mwishoni waliweza kumdhibiti na kuondoka nae.

my take: ule utaratibu wa polisi kuja kuwakamata mashekh msikitini kisha mkaingia na viatu mpaka ndani huwa mnaamsha hisia kali sana toka kwa waumini kama nilivyoshuhudia katika tukio lile.
 
Jamani mnamjadili Ponda mtumishi wa Masihi wa el dajali, mie nashangaa sana Waislam hawapendi kupitia vitabu vyao wengi wanangoja mashekh wa tafasiri, na hii udhahifu uliopo kati wa waislam ambao wengine hata ni wasomi lakini kiimani hawaijui kabisa kitabu chao. na katika hoja nyingi sana waislam hawamzungumzii shetani na dajali ambaye ni mjumbe wa Shetani katika kuimiliki dunia, wamekuwa na wale wanaona wale wanaoendelea ndio adui yao. Wakristo hawajapata sema kama Uislaam au muumini wa uislam ni adui yao, ila nguvu yao wameweka katika kusema shetani ndiye adui yao. swali je waislam je ni jeshi la Shetani? sipendi amini hivyo, kwa histori ya Mtume Muhamadi alikuwa rafiki wa Wakristo na aliwakaribisha katika miji kadhaa kwa wakati wake. Najiuliza je Somalia ni vita dhidi ya nani. na uliza huko ulipo uislaam ambapo inaaminika ndipo chimbuko la uislaam vita ni vya nini, Je katika uislaam kuna mungu wangapi? kama ni mmoja vita vya nini ndani ya waislam wenyewe kwa wenyewe? huku wakidai MUNGU NI MKUBWA MUNGU NI MKUBWA, nauliza huyu ni mungu yupi?
Katika majina 99 ya Mwenyezi Mungu katika Koran, hakuna jina lenye sifa ya Mungu Muuaji?
Inafika wakati waislam ambao nyie mmekuwa mkieneza chuki juu ya Uislam na Ukristo. Mseme vita vyenu ni juu ya nini?
Kama mpo kwa sifa za masihi el dajali. na mjiweke wazi. kwani hata kwenye maandako yanasema ni mwongo na baba wa waongo kama alivyo sipendi kumwita shekhe hapana huyu Ponda wenu, mnaye muona ni mungu kwenu. Kumekua na msuguano mwingi kati ya waislam ndani ya misikiti yao wenye, kwa ujinga tu ile ya Mwembe chai ilikuwa kati ya uislam na uislam vyombo vya dola vilifanya kazi yao ya kulinda amani. Nchi hii ina sheria zake na kila raia bila kujali dini rangi inatakiwa ifuatwa sio kwa kuombwa, lah. Tuna dini zetu sawa sijawahi ona dini inayoeneza uovu ila pale mwovu anapopewa mwanya wa kuingia humo ndivyo utaona mapambano kati ya wao kwa wao.

Maandiko ya meandika wanaaminiana wao kwa wao.

SOMENI MAANDIKO YENU KATIKA KUTAFUTA KWELI, NA MTAMBUENI ADUI YENU NI NANI?
 
Kazi ipo.
Taqbiiiiiiiiiiiiiiir....Taqbiiiiiiiiiiiir..Taqbiiiiiiiiiiiiiiir..,,Mungu akupe nguvu uendelee na mapambano ya kupambana dhidi ya Makafir..kafir atakutisha nn hali ya kua janna yako iko ndani ya kifua chako?sana sana kuna mambo matatu tu ambayo anaeza kukufanyia jambo la kwanza atakuchukua na kukueka ndan ambao wao wanaita jela kwetu sisi ni University llah Yusuf..hivyo ni faradh kwa muislam yoyote kuekwa jela..jambo la pili atakuchukua na kukuhamisha mji kwa madai kua wewe c mzaliwa wa hapo(Refugees) mkimbizi ambapo wakikuhamisha kwa ajili ya harakat ya kuupeleka mbele Uislam kwetu c hasara kwani ni Hijra Fiisabili llah(movement 4 da sake of Strengthen Islam)..na jambo la mwisho ambalo Kufar anaeza kumfanyia Muislam ni kumuua na kumpa ticket ya kwenda Janna raha gani na bahati gani ilioje Muislam kuuawa na Kuffaris tunataka kufa hali ya kua ni Mashahiid wa Allah sw (sucrifies our souls n wealth da sake of Allah sw,,we r ready to die 4 his way rather dan dying in kuffar hands),,..so we will suport u Sh Ponda 4 wereva it takes wala hatutoogopa vitisho vyenu tunamuogopa Allah tu(hamtopata pepo mpaka muyapate yaliyowapata waliokua kabla yenu),,..!!
 
Mtu mmoja awezi kuhamasisha machafuko ya kidini alafu Serikali inamwangalia tu ......anatoa kiburi wapi?...
 
Kusimama jukwaani na kuhamasisha vikundi vya kiislamu kuchukua hatua mkononi bila kufuata sheria .......sio mara ya kwanza kufungwa .....Kuna namna na taratibu ya kudai haki yako au ya waislamu sio njia alizotumia
 
Go go go PONDA,,,,,,
TAQBIIIIIIIIIIR,TAQBIIIIIIIIIR,TAQBIIIIIIIIR,
PONDA UMENENA NA ULILONENA LINA UKWELI,KAMA KUNA MTU ANA USHAHID WA YULE MTOTO KUWA KESI YAKE IKO MAHAKAMAN AUWEKE HAPA,,,,MSIISHIE KUMSHUTUMU PONDA BILA SABABU ZA MSINGI,

Ile ahadi ya kova utembelea JF, inawalenga watu kama wewe!
jirekebishe ndugu!
 
Ponda ni mbulula eti amesingiziwa Kuwa si mtanzania kwani ni yeye peke yake mbona kina bashe hawasemi walio singiziwa Sio watanzania

Wewe 'MAKU' nini? Amzungumzie Bashe kwan yeye ni msemaji wake.
 
Mtoto kwenye mahabusu ya watu wazima????napata shaka kidogo na maneno ya sheikh...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom