Pongezi: Asante kocha Zoran Maki kwa kuligundua jipu lililokuwa likiisumbua simba kwa muda mrefu, Jonas Mkude.

Pongezi: Asante kocha Zoran Maki kwa kuligundua jipu lililokuwa likiisumbua simba kwa muda mrefu, Jonas Mkude.

Mi nashangaa watu ndo wanaanza kuona mapungufu ya Mkude leo. Wakati ndo mchezo wake miaka yote. Yaani ukitaka mkude ang'ae ni mpaka umpange na mtu wa kumkabia. Sasa hiyo biashara nani anataka! Yaani yeye ni asimame tu katikati ya uwanja, apige pass huku apige pass kule.. Basi! Tunaweka mtu ambae hana mchango wowote kwenye timu. Mi muda aende sasa
na ndiyo maana kama Simba inataka kusonga mbele kimataifa NI LAZIMA ipate kitasa cha nguvu - holding midfielder la hatari, vinginevyo kuwatumia Mzamiru, Kanoute na Mkude - mwisho ni makundi ama robo.
 
Back
Top Bottom